Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?

Mimi uchumi wangu ukiniruhusu nitakuja kujitoa out... Kwa Sasa nipo broke ile mbaya .๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ.. hata mtu angenipea li teni hapa ningemshukuru mno..๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘.I.D hizi zinaficha mengi sana
 
Bila marafiki huwa ni 60k-80k inanitosha kulewa weekend nzima.

Tatzo linakuja kukiwa na marafiki na kutoa ofa baada ya kulewa.

Ila wiki ambayo inapita bila kupiga maji kawaida huwa ni 40k ya misosi na tax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ