Ipii hiyo mtaniii? [emoji23][emoji23][emoji23]Mtani nina kesi na wewe ujue. [emoji12]
Sijui.Je ukitolewa, ni x100π...?
MhmSi mshahara wa mtu huu πββοΈπ₯²
πββοΈ kweli tena
π€πββοΈ kweli tena
ππ€
Noma sana rasπ
Acha kabisa πNoma sana ras
Usiguse pombe wewe kunywa maziwa tuAcha kabisa π
Maziwa hapana Fresh Juice & MajiUsiguse pombe wewe kunywa maziwa tu
Mno , mimi nimechoka hapa , ngoja ninywe hata bia baridi mojaπMaziwa hapana Fresh Juice & Maji
Sawa endelea RasMno , mimi nimechoka hapa , ngoja ninywe hata bia baridi mojaπ