Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂😂🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🤣🤣🤣
CHAI
Maisha ya hapo zamani mtu akikuta begi kama hili na kuliacha, watu walimshangaa sana kwamba kapitwa na bahati na bahati haiji mara mbili,
Ila kwa siku hizi mtu akiliacha begi kama hilo ana akili sana, wala si wa kumcheka.
Teknolojia ya GPS tracking imekuwa kubwa sana, Begi lenye maburungutu ya hela ni kawaida sana kuwekwa gps inayoonyesha movement zote za begi, Gps ndigi ya ziada inaweza kuwekwa kwa ustadi katikati ya pesa zilizobanana, hata begi likitupwa location ya mzigo inaonekana.
Njia pekee ya kuiba hilo begi labda uwe na jammer wanazotumia majambazi wa pikipiki na magari kuharibu mawasiliano ya gps tracker zisitume location
Begi ukikimbia nalo kwa muda mfupi ukiwa na furaha utasema maisha umeyapata lakini kifuatacho baada ya hapo kinaweza kufanya maisha yako yawe ya majonzi sana.
Sikulaumu kwa ubishi wako maana upo nyuma sana kiteknolojia, nadhani hata hio jammer ndio unaisikia leo🚮story ya kitoto kabisa. Anakwambia jammer ya majambazi wanatumia. Wanatumiaga wapi? Uliwahi waona wewe.
Tabia ya kuchukua picha twitter kuletea wanaume acha hizo akili za watoto kule. Huku kuna masinagogi tumeshapita. Maisha ya maigizo hayo.
davidoSay dem go feel it
Dem go run it down
Dem go hold it
Dem go
Watu wanaweka gps kwenye pikipiki na magari na yakiibiwa wanayapata sembuse begi lenye maburungutu ya hela ?Stori za kutishanaa hzo mkiwa vijiweni mwananguu .
Aiseee ww sema kwel tu ujawahi kutana nalo HAKI utaliachaa .
Hv ujawah kuona tu mtu kapanga pesa labda Kwa droo alafu ziwe nyingi jinsi zinavyovutiaa kuliko hata mwanamkee mrembo yyt dunian mkuu,sembusee ndio kibegi kama Cha Simba hchi hapa paaaaaaaaaa kimejaaa aiseeee ,waje wanikamate tu ila pesa siachii..
Wanafanya hivi wakitaka ku achieve nini? Tuanzie hapo
Maisha ya hapo zamani mtu akikuta begi kama hili na kuliacha, watu walimshangaa sana kwamba kapitwa na bahati na bahati haiji mara mbili,
Ila kwa siku hizi mtu akiliacha begi kama hilo ana akili sana, wala si wa kumcheka.
Teknolojia ya GPS tracking imekuwa kubwa sana, Begi lenye maburungutu ya hela ni kawaida sana kuwekwa gps inayoonyesha movement zote za begi, Gps ndigo ya ziada inaweza kuwekwa kwa ustadi katikati ya pesa zilizobanana, hata begi likitupwa location ya mzigo inaonekana.
Gps trackers itaonyesha sehemu lilipo begi na movements zake, hivyo ukiliokota na kwenda nalo nyumbani kwako, watajua lilipo na kulifuata, kibongo bongo utapewa kipigo kikali sambamba na kupewa kesi ya ujambazi.
Watu wanaweka gps kwenye pikipiki na magari na yakiibiwa wanayapata sembuse mabegi yenye maburungutu ya hela ? hilo swali ujuilize sana.
Njia pekee ya kuiba hilo begi labda uwe na jammer wanazotumia majambazi wa kisasa kuiba pikipiki na magari, gps jammer ni kifaa maalum cha kublock mawimbi ya gps tracker.
Begi ukikimbia nalo kwa muda mfupi ukiwa na furaha utasema maisha umeyapata lakini kifuatacho baada ya hapo kinaweza kufanya maisha yako yawe ya majonzi sana.
Nani anaweza kuacha begi la hela kisa kuna GPS tracker ameweka?Kuna gps ndogo sana zinawekwa kwa ustadi wa hali ya juu katikati ya kibunda / bunda la noti,, utatupa begi utaanza kukimbia kwako ukazifiche, wanajua tayari mzigo ulipo.
Mshamba wa teknolojia pekee ndie atagutuka kulichukua hilo begi, anatanaswa kirahisi sana kama panya aliewekewa mtego wa nyama.Nani anaweza kuacha begi la hela kisa kuna GPS tracker ameweka?
Utamkamata mtu, hela ameshatumia karibia zote amebaki na hela kidogo tu na ukimwangalia mtu mwenyewe anatia huruma
Masikini wakiwa juu ya ghorofa 3Mshamba wa teknolojia pekee ndie atagutuka kulichukua hilo begi, anatanaswa kirahisi sana kama panya aliewekewa mtego wa nyama.
Kwa akili yako umedhani begi linawekwa sababu hujafikiria out of the nox, anyway wacha nikupe darasa la bure: begi linaweza kutupwa na majambazi baada ya kugundua lina tracker, jambazi kupata wenye au machale ya kukamatwa analitupa kuondoa ushahidi, mtu anaweza kuvamiwa na majambazi kwenye gari akaamua atupe hilo begi, n.k.Kwa akili yako mtu akuwekee begi la hela kweli? Ni nani anaweza fanya ujinga huo?
Watu wanaiba benki mchana na hawakamatwi itakuwa sembuse begi la hela lenye GPS tracker?
Hela wanavyohangaikia watu, wengine wanauza nafsi zao kwa shetani, wadada wanajiuza barabarani, wengine mpka wanakuwa wezi halafu mtu aone begi la hela aliache kisa limewekewa GPS tracker.
Mtu hawezi kutupa begi la hela kisa kuna GPS tracker na wala hayupo mtu ambaye hataacha kuchukua begi la hela kisa kuna GPS trackerKwa akili yako umedhani begi linawekwa sababu hujafikiria out of the nox, anyway wacha nikupe darasa la bure: begi linaweza kutupwa na majambazi baada ya kugundua lina tracker, baada ya kuona kuna mazingira ya kukamatwa wanalitupa kuondoa ushahidi, mtu anaweza kuvamiwa na majambazi kwenye gari akaamua atupe hilo begi, n.k.
Benki gani hio imeibiwa mchana (Robbery) kwa hata kwa mwaka jana hapa Tanzania ?