Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu

Maumivu yameanza taratibu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

Nafanyaje wakuu?

Screenshot_20250221-080035_YouTube.jpg
 
Wakuu

Maumivu yameanza taratibu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

Nafanyaje wakuu?

View attachment 3243731
Ingawa tunajaribu kuukataa ukweli ila uhalisia upo hivi mtu anaolewa ameshachezea bolo za kila aina ngumu sana kukuheshimu halafu uatkuta wanalalamika hawakojozwi, utakojozwa vipi wakati wewe ni kahaba mzoefu
 
Inaonekana kwenye kikao mlienda wachache

Haiishi ng'oo, hii ni kama middle east crisis
Waoaji waliisha maliza hiyo kazi na wengine wanaendelea kumaliza ref to the case of Azizk na Hamisa ya mwaka 2025🤣🤣🤣🤣. Ni nyie kataa ndoa ndio mnajiweka kwenye kichaka Cha mabua Shenzii.😏😏
 
Back
Top Bottom