Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Mzee wa Upako hapepesi, kwenye wachungaji 10 bora wanaoijua bible Duniani yeye yumo, na amewachana live wacristo wenzake kwa kuwaambia Yesu hakuwai kusali Kanisani bali alisali Msikitini na Sinagogi.
duh😤😤sa itakuwaje?
 
Bikra inaleta kizaa zaa mjini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ondoa shaka mkuu.

madada kibao tu wa humu jF wameshatuhakikishia bado wanazo, japo bado hatujajua kama ni za mbele au la.
 
Mzee wa Upako hapepesi, kwenye wachungaji 10 bora wanaoijua bible Duniani yeye yumo, na amewachana live wacristo wenzake kwa kuwaambia Yesu hakuwai kusali Kanisani bali alisali Msikitini na Sinagogi.
sa itakuwaje
 
Wanawake wanavyoshambuliwa utafikiri wanajitoa bikra wenyewe. Wanaume wa staili hii usikute wangekuwa wnawake wangekua wanagawa kama karanga.
Mungu kakuumba kakupa akili na utashi,anayekutoa bikra hajakushikia bunduki bali ni tamaa zako mwenyewe za kimwili/ fedha ndizo zilizo kufanya upoteze bikra. Kuna wenzako wameingia na bikra zao kwenye ndoa sababu, waliweza kitumia akili na utashi wao kuepuka vishawishi na tamaa.

Tumia akili na utashi wako zidi ya tamaa zako ili ulinde bikra yako.
 
Back
Top Bottom