Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Ipo wazi... Bikra ndio hati miliki.

Kama bikra haipo maana yake unataka kujenga kwenye kiwanja cha mtu
Ila wanawake nao wanaonewa sometime..Ni kweli bikira ni muhimu,ila kama mwanaume na wewe umerukaruka sioni kama una legitimacy ya kukazia hicho kigezo sana kwenye uoaji.
 
Mimi natania tu ila kiuhalisia napenda wanawake mashindikanaa... Yani wenye uzoefu mkubwa kwenye mapenzi
 
Sio utani mkuu,upo sahihi kabisa.Kila mwanaume angependa mwanamke wake wa maisha amkute ni bikira.

Ila ikiwa vice versa na umempenda mtu na isitoshe wewe mwenyewe ushawasaidia wanawake chungu nzima kushusha kyupi,aah..Hupaswi kunyoosha kidole hata kidogo.
 
Haya mambo hayana mwongozo... Ningekua sijaoa ningeenda kuoa shindikana mmoja ambae tutapiga sarakasi hadi nyumba inuke choo
 
Bikra inasaidia Nini inaleta pesa ama chakula kwa nyumba??ama inapeleka mtu mbinguni kuishi milele?
 
Back
Top Bottom