akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Mzee wa Upako hapepesi, kwenye wachungaji 10 bora wanaoijua bible Duniani yeye yumo, na amewachana live wacristo wenzake kwa kuwaambia Yesu hakuwai kusali Kanisani bali alisali Msikitini na Sinagogi.
kiongozi mbn kama unatia chumvi kwenye kidonda🤡Pambana na hali yako mkuu
duh😤😤sa itakuwaje?Mzee wa Upako hapepesi, kwenye wachungaji 10 bora wanaoijua bible Duniani yeye yumo, na amewachana live wacristo wenzake kwa kuwaambia Yesu hakuwai kusali Kanisani bali alisali Msikitini na Sinagogi.
Ndio mkuuHee tumefika huko?
Ondoa shaka mkuu.Bikra inaleta kizaa zaa mjini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sa itakuwajeMzee wa Upako hapepesi, kwenye wachungaji 10 bora wanaoijua bible Duniani yeye yumo, na amewachana live wacristo wenzake kwa kuwaambia Yesu hakuwai kusali Kanisani bali alisali Msikitini na Sinagogi.
Lol🙄Huko ni kupigia mbuzi gita.
Mungu kakuumba kakupa akili na utashi,anayekutoa bikra hajakushikia bunduki bali ni tamaa zako mwenyewe za kimwili/ fedha ndizo zilizo kufanya upoteze bikra. Kuna wenzako wameingia na bikra zao kwenye ndoa sababu, waliweza kitumia akili na utashi wao kuepuka vishawishi na tamaa.Wanawake wanavyoshambuliwa utafikiri wanajitoa bikra wenyewe. Wanaume wa staili hii usikute wangekuwa wnawake wangekua wanagawa kama karanga.
Wasome biblia co kukaa tu kwenye mabenchi kuckiliza Uhoro wa akina Mwamposa.sa itakuwaje