Miss_deejjah
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 167
- 355
Itakua kajinyonga sababu ya fedheha na aibu angemtizama vp baba yake maskin
Miaka 13 tayari kabisa anaweza kuwa na hisia hizoAmejinyonga , labda kwa hofu ya hatua ambayo angechukuliwa na baba yake pamoja na aibu kuu. Je, huyu mtoto alikuwa ameshaanza kuwa na hisia za mapenzi?
Nadhani hili ni swala la malezi na utandawazi zaidi kuliko tiba.Mwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa maziko.
Baba mzazi wa mtoto huyo, Innocent Soka, akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Julai 23, 2026 amesema tukio hilo limempa pigo kubwa, lakini anamwachia Mungu. Amesema alikuwa akiishi na watoto wake wawili wa kike baada ya kutengana na mama yao, lakini sasa amebaki na mmoja.
"Binti yangu alikuwa mcheshi na asiyependa kuweka vitu moyoni, ila nimesikitishwa na sikutegemea kuchukua uamuzi mgumu kama huu," amesema Soka.
Amesema tukio hilo lilitokea Jumamosi Julai 18, 2026, siku ambayo hakukuwa na masomo kwa kuwa Vaileth alikuwa akisoma darasa la sita katika Shule ya mchepuo wa Kiingereza Mirerani.
CHANZO:-
Soka amesema chanzo cha tukio hilo kilikuwa kumkuta mtoto huyo akiangalia maudhui yasiyofaa kwenye luninga kupitia flashi ambayo hakujua ilipotoka"
Mtoto alikuwa anaangalia pono huku akijisugua, ni darasa la sita na pono zilikuwa kwenye flash, Je wewe kama mzazi ukimkuta mwanao anaangalia, utampiga, utamkaripia, utavunja Tv ama utakaa kimya?
Ushauri Dr Adam Francis DR HAYA LAND Doctor Mama Amon Mshana Jr Advocate_Silayo raraa reree miss Jane Miss Eagle dorothcharlz GwajiBoy TANESCO
View attachment 3635903
Wazazi ni binadamu pia, inawezekana hata yeye alipigwa na butwaa plus kuchanganyikiwa asijue afanye nini ndio maana akarudi alikotokaAlipomkuta anafanya hivyo angemkalisha chini na kuanza kumweka sawa.
Siku zote ukimkuta mtu anafanya jambo baya au la aibu halafu ukamwacha bila kuongea huwa anajiuliza maswali mengi sana na magumu, na hatimaye kujidhuru au kumdhuru huyo aliyemwona akiwa anatenda jambo hilo.
Ndiyo, lakini hili like funzo kwa wengine. Ukimkuta mtoto wako anafanya haya mambo Kaa naye chini muda huo huo.Wazazi ni binadamu pia, inawezekana hata yeye alipigwa na butwaa plus kuchanganyikiwa asijue afanye nini ndio maana akarudi alikotoka
Ili ajilipue kwa msisimko zaidiAngemtafutia video nyingine nzuri za porno
nina binti wa umri huo na darasa hilo ila siishi naye, yuko kwa bibi mzaa mama. Huwa na nawaza na kufikiri sana kama binti yangu ameishaanza kupevuka na kuanza kujua mambo hayo. Nilitaka nimnunulie simu akasema kuimiliki itakuwa shida na wanafunzi hawaruhusiwi, nikaacha mpango huo. Hawa watoto inategemea na ukuaji wao kimwili na kihisia kwa maana kuna ambao hata golori bado hazijaanza kutuna na wengine chuchu tayari zipo na hamu ya mapenzi wameanza kutamani. Ni kukaa nao na kuwaambia tu kuwa kwa umri wao hawatakiwi kuangalia wala kutamani mambo ya ngono. Kazi hiyo ifanywe na mama yao au mlezi wa kike anayeishi naye, kwa wababa ni ishu kutokana na maadili yetuAmejinyonga , labda kwa hofu ya hatua ambayo angechukuliwa na baba yake pamoja na aibu kuu. Je, huyu mtoto alikuwa ameshaanza kuwa na hisia za mapenzi?

Bongo muvi zinawaleta vibayaMimi kama Millenial huyo mtoto angekuwa binti yangu ningemuita ..namuagiza soda mbili tunakaa nje kwenye bustani ya nyumbani kisha namwambia ulichofanya ni hali ya kibinadamu na lazima kila binadamu aipitie ,hata mimi na mama ako tumefanya ndio mana ukazaliwa wewe ila wewe bado utakiwa usome umalize shule utaleta mwanaume wako tutawapa baraka zenu ili nanyi mkafanye hivyo sawa mwanangu? ...pia usitazame hizo video zitakuletea mazoea hutafurahi ukiwa na mwenza wako muda ukifika unanielewa binti yangu kipenzi? Aya maliza soda yako kanunue viazi na nyama leo nina hamu tule chips mwanangu.FULL STOP
Kuna kitu nawaambia ambao tumezaliwa na wazazi wa 1950s- 1960 hiki ni kizazi cha kipuuzi sana ndio mana hata nchi yetu kuna baadhi ya mambo hayaendi kwa ujinga wao najua mama yangu yupo hili kundi na baba pia ukoloni wa kipuuzi kila muda na ndio mana mimi siwezi omba ushauri kwa mzee bora kijana mwenzangu.
Mzuri mwenyeweMwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa maziko.
Baba mzazi wa mtoto huyo, Innocent Soka, akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Julai 23, 2026 amesema tukio hilo limempa pigo kubwa, lakini anamwachia Mungu. Amesema alikuwa akiishi na watoto wake wawili wa kike baada ya kutengana na mama yao, lakini sasa amebaki na mmoja.
"Binti yangu alikuwa mcheshi na asiyependa kuweka vitu moyoni, ila nimesikitishwa na sikutegemea kuchukua uamuzi mgumu kama huu," amesema Soka.
Amesema tukio hilo lilitokea Jumamosi Julai 18, 2026, siku ambayo hakukuwa na masomo kwa kuwa Vaileth alikuwa akisoma darasa la sita katika Shule ya mchepuo wa Kiingereza Mirerani.
CHANZO:-
Soka amesema chanzo cha tukio hilo kilikuwa kumkuta mtoto huyo akiangalia maudhui yasiyofaa kwenye luninga kupitia flashi ambayo hakujua ilipotoka"
Mtoto alikuwa anaangalia pono huku akijisugua, ni darasa la sita na pono zilikuwa kwenye flash, Je wewe kama mzazi ukimkuta mwanao anaangalia, utampiga, utamkaripia, utavunja Tv ama utakaa kimya?
Ushauri Dr Adam Francis DR HAYA LAND Doctor Mama Amon Mshana Jr Advocate_Silayo raraa reree miss Jane Miss Eagle dorothcharlz GwajiBoy TANESCO
View attachment 3635903
WAISLAM WAKISEMA,mtu yeyote yule aliyevunja ungo/anayepata hisia za mapenzi/kufanya mapenzi hata kama ana miaka 9 ni Bora aolewe.Mwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa maziko.
Baba mzazi wa mtoto huyo, Innocent Soka, akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Julai 23, 2026 amesema tukio hilo limempa pigo kubwa, lakini anamwachia Mungu. Amesema alikuwa akiishi na watoto wake wawili wa kike baada ya kutengana na mama yao, lakini sasa amebaki na mmoja.
"Binti yangu alikuwa mcheshi na asiyependa kuweka vitu moyoni, ila nimesikitishwa na sikutegemea kuchukua uamuzi mgumu kama huu," amesema Soka.
Amesema tukio hilo lilitokea Jumamosi Julai 18, 2026, siku ambayo hakukuwa na masomo kwa kuwa Vaileth alikuwa akisoma darasa la sita katika Shule ya mchepuo wa Kiingereza Mirerani.
CHANZO:-
Soka amesema chanzo cha tukio hilo kilikuwa kumkuta mtoto huyo akiangalia maudhui yasiyofaa kwenye luninga kupitia flashi ambayo hakujua ilipotoka"
Mtoto alikuwa anaangalia pono huku akijisugua, ni darasa la sita na pono zilikuwa kwenye flash, Je wewe kama mzazi ukimkuta mwanao anaangalia, utampiga, utamkaripia, utavunja Tv ama utakaa kimya?
Ushauri Dr Adam Francis DR HAYA LAND Doctor Mama Amon Mshana Jr Advocate_Silayo raraa reree miss Jane Miss Eagle dorothcharlz GwajiBoy TANESCO
View attachment 3635903
Hata zamani mi nilivokua shule ya msingi zaidi ya miaka 20 imepita mabinti kibao wa hio miaka waliia wanagongwa na walimu,Ila watoto wa siku hizi wamechachuka mapema imagine 13yrs old anajua kujisugua
Unaweza kuozesha mwanao wa miaka 9?WAISLAM WAKISEMA,mtu yeyote yule aliyevunja ungo/anayepata hisia za mapenzi/kufanya mapenzi hata kama ana miaka 9 ni Bora aolewe.
MASHOGA watakuja kusema hapa huyo bado mdogo😀😃😅😆🤣🤣
UISLAM UPO MBELE YA MUDA