Hakuna cha marafiki wasiofaa wala nini bora aangalie kipindi hiki kuliko akaruka stage akaanza kuleta mambo ya hovyo ukubwMtoto akishapata marafiki/makundi yasiyofaa kipindi cha balehe hesabu maumivu.
Mkuu mtoto wakike akiwa mwenye afya njema hubarehe katika umri wa kuanzia miaka 8,sasa huyu wa miaka 13 iwe vipi Hana hisiaAmejinyonga , labda kwa hofu ya hatua ambayo angechukuliwa na baba yake pamoja na aibu kuu. Je, huyu mtoto alikuwa ameshaanza kuwa na hisia za mapenzi?
Sawa baba mleziHakuna cha marafiki wasiofaa wala nini bora aangalie kipindi hiki kuliko akaruka stage akaanza kuleta mambo ya hovyo ukubw
Aisee, kwahiyo tushauri , umri wa ndoa ushushwe toka 18 years to 8 years!Mkuu mtoto wakike akiwa mwenye afya njema hubarehe katika umri wa kuanzia miaka 8,sasa huyu wa miaka 13 iwe vipi Hana hisia
Ukali lazima ila usiwe wa kupitiliza, jengea tabia ya kusikiliza na kuchukua hatua kabla ya ukali huo. Utawajengea tabia ya kujieleza kama hawana kosa.Hii ya kuwa na ukali kwa mtoto ndio hufanya watoto wanakutwa na changamoto wakashindwa kusema kwa kuhofia kuadhibiwa hata kama hana kosa.. sababu bado ni mtoto..
Huo ukoloni wa namna hiyo ni wa kipuuzi na hauna maana yeyote..
Mimi nimekua na watoto ambao wazazi wao walikuwa mbogo na watoto hao waliishia kuwa kwenye makundi ya ajabu na kuwa sugu.. wengine wezi....
Ukali hausadii chochote.. ni upuuzi tu.. samahani kama nimekosea kusema hivyo..
Neno, wacha media hazizipi vitu hivi umuhimu,Ukali lazima ila usiwe wa kupitiliza, jengea tabia ya kusikiliza na kuchukua hatua kabla ya ukali huo. Utawajengea tabia ya kujieleza kama hawana kosa.
Mtoto usimfanye rafiki kupitiliza na akujue madhaifu yako juu ya upendo wako kwake. Atajua kucheza na wewe kiihisia. Unajiona upo kisasa na ukali ni ukoloni kumbe unaharibu.
Huu upuuzi tu..Ukali lazima ila usiwe wa kupitiliza, jengea tabia ya kusikiliza na kuchukua hatua kabla ya ukali huo. Utawajengea tabia ya kujieleza kama hawana kosa.
Mtoto usimfanye rafiki kupitiliza na akujue madhaifu yako juu ya upendo wako kwake. Atajua kucheza na wewe kiihisia. Unajiona upo kisasa na ukali ni ukoloni kumbe unaharibu.
Hivi mtoto wa miaka 13 anaweza kuwa na LIBIDO?The more we preach the badness of something the more they will make a research kujua ubaya uko wapi. Mfano kila kona bangi, pombe, mirungi, porno tunaimba ni vitu vibaya so mtoto atajikuta kufanya research ili ajue ubaya wake upo wapi na mwisho wa siku anajikuta amekua addicted. Na kuhusu hili la huyu mtoto inatakikana ukimkuta malizana nae mda huo kwa kumshauri na sio umwambie ngoja baadae tutaonana au utanikoma no hiyo ni kumuwekea presha na anaweza fanya chochote kuepukana na kikombe cha adhabu lakini palepale on the spot ukambana na kumhoji atakwambia yote. Lakin ili ya ngoja wewe babako aje nimwambie hiyo n presha au ngoja nitoke huko nije uniambie ujinga huo pia hiyo ni presha. Na ndio maana unasikia watoto wamepotea nyumban kwa kuogopa kichapo au masimango ya mzazi na ukute mzazi ni yule wa hacheki na wowote hapo lazma atafute plan b.
Ukali lazima ila usiwe wa kupitiliza, jengea tabia ya kusikiliza na kuchukua hatua kabla ya ukali huo. Ufawajengea tabia ya kujieleza kama hawana kosa.Hii ya kuwa na ukali kwa mtoto ndio hufanya watoto wanakutwa na changamoto wakashindwa kusema kwa kuhofia kuadhibiwa hata kama hana kosa.. sababu bado ni mtoto..
Huo ukoloni wa namna hiyo ni wa kipuuzi na hauna maana yeyote..
Mimi nimekua na watoto ambao wazazi wao walikuwa mbogo na watoto hao waliishia kuwa kwenye makundi ya ajabu na kuwa sugu.. wengine wezi....
Ukali hausadii chochote.. ni upuuzi tu.. samahani kama nimekosea kusema hivyo..
Sasa huyo mtoto atatambuaje mipaka yake kwa maneno tu, au ukiitikiwa ndiyo unajua katii. Ukiona ukali unafumika jua hiyo mbinu ishajaribiwa zaidi ya mara moja mambo ni yaleyale.Huu upuuzi tu..
Mtoto inapaswa umlee awe rafiki na umfanye atambue mipaka yake..
Hili suala sijui la ukali kidogo, haina maana yeyote, mtoto atashindwa hata kujiamini, akili ya mtoto inabidi kuwa huru, hapo akili yake itafanya kazi kwa uwezo wa juu kabisa.
Mtoto unaweza kumtengeneza akawa anakupend na akawa anakuheshimu, wazungu wanafundisha mbwa inasalimia, inatumwa dukani, mbwa inafuata maelekezo, atashindikana binadamu?
Nachukia sana wazazi ambao huwa wanajitia na ukoloni wa kipuuzi nyumbani, yaani baba akifika nyumbani hata kama watoto walikuwa wanatazama tv wanakimbilia vyumbani, malezi ya kipuuzi sana hayo.
Uzungu uchwara unaharibu. Hadi Mwigizaji Jackie Chan ashawahi kukosoa tabia hii ya kimagharibi juhusu malezi, akasema waziwazi imemharibia mwanae kimaleziNeno, wacha media hazizipi vitu hivi umuhimu,
Hakuna mahala nimesema mtoto asipewe adhabu anapokosea.Ukali lazima ila usiwe wa kupitiliza, jengea tabia ya kusikiliza na kuchukua hatua kabla ya ukali huo. Ufawajengea tabia ya kujieleza kama hawana kosa.
Mtoto usimfanye rafiki kupitiliza na akujue madhaifu yako juu ya upendo wako kwake. Atajua kucheza na wewe kiihisia. Unajiona upo kisasa na ukali ni ukoloni kumbe unaharibu
Sasa huyo mtoto atatambuaje mipaka yake kwa maneno tu, au ukiitikiwa ndiyo unajua katii. Ukiona ukali unafumika jua hiyo mbinu ishajaribiwa zaidi ya mara moja mambo ni yaleyale.
Utaishia kulaumu na kumsakama kila siku juu ya jambo moja, ila ukimnyuka mara moja baada ya kukaidi onyo anatulizana harudii tena.
Hutakiwi tu kumpiga mara kwa mara utamfanya awe sugu ajue akifanya jambo atapigwa yataisha.
Unafikiri kuna anayependa kupiga mwanae?
Usijifiche kwenye kichaka hiko..Uzungu uchwara unaharibu. Hadi Mwigizaji Jackie Chan ashawahi kukosoa tabia hii ya kimagharibi juhusu malezi, akasema waziwazi imemharibia mwanae kimalezi
Ndiyo mana toka reply ya kwanza nikasema ukali ni lazima na si kila mahali, nikimaanisha kuna muda unakuwa unakuwa huna.Hakuna mahala nimesema mtoto asipewe adhabu anapokosea.
Ninachopinga hapa ni ukoloni wa kijinga na wa kizamani wa kuwa mkali, unafoka hovyo hata kwa vitu vidogo, hucheki na watoto , umekunja uso masaa 24 eti kisa mtoto asikuzoee..
Huo ni upuuzi na ujinga.. halafu wengine walivyo wapumbaf anajisifu kwa rafiki zake eti "watoto wangu wananiogopa".. hapo ndipo wazazi wa kike huwa win watoto..
Acha maneno yako mkuu..Ndiyo mana toka reply ya kwanza nikasema ukali ni lazima na si kila mahali, nikimaanisha kuna muda unakuwa unakuwa huna.
Ninachopingana na wewe ni urafiki na mtoto wa kupitiliza maana yake unamaanisha uongee naye tu akikosea kila jambo. Atakupanda kichwani
hata wa 11 wanakuwa nayo mkuu. Miaka ya nyuma simu au tv havikuwepo ndio maana mtu alikuwa anajua mambo kama hayo akiwa hata above20yrs lakin cku hiz mtoto anakuwa kila kitu kimo ndani sio tv sio simu vyote vimo anajifunza akiwa mdogo mwili unazoea akiwa bado mdogo coz mawazo na fikra zake ziko huko na ni rahis mwili kuzoea hizo hali.Hivi mtoto wa miaka 13 anaweza kuwa na LIBIDO?