Ukikuta Mwanao wa kike Darasa la 6 anaangalia Ngono, unapaswa kufanyaje kumsaidia?

Miaka 13 tayari mtoto wa kike au wa kiume anaweza akawa ameshaanza kuwa na hisia za ngono tena kubwa.

Kama mzazi mwanao akiingia age hiyo ya puberty unabidi kuongeza umakini kwa kumuweka mbali na viashiria Vyote vinavyoweza msababishia hatari.
 
Ili kuwaepusha wanao na hizi fedheha, hakikisha hawawi idle kwenye daily life.

Enzi zetu tulichelewa hizi mbanga sababu tulipelekwa mwendo msebemsebe, hata huo muda wa kuwaza ngono unaokosa, usiku ukifika kitandani ni unalala kama mfu.
 
Nadhani hili ni swala la malezi na utandawazi zaidi kuliko tiba.

Watoto wetu wapo exposed kwenye maudhui yasiyofaa kwa kiwango ambacho hata kudhibiti inakuwa ngumu.

Ingawaje ni muhimu vyombo vya uchunguzi vikafanya uchunguzi. 2017, nikiwa nafanya kazi Mpanda, nilinya postmortem ya kesi ya aina hii hii. Tukagundua mtoto alibakwa, akauwawa baadaye alitundikwa ili ionekane kajinyonga.
 
Wazazi ni binadamu pia, inawezekana hata yeye alipigwa na butwaa plus kuchanganyikiwa asijue afanye nini ndio maana akarudi alikotoka
 
Amejinyonga , labda kwa hofu ya hatua ambayo angechukuliwa na baba yake pamoja na aibu kuu. Je, huyu mtoto alikuwa ameshaanza kuwa na hisia za mapenzi?
nina binti wa umri huo na darasa hilo ila siishi naye, yuko kwa bibi mzaa mama. Huwa na nawaza na kufikiri sana kama binti yangu ameishaanza kupevuka na kuanza kujua mambo hayo. Nilitaka nimnunulie simu akasema kuimiliki itakuwa shida na wanafunzi hawaruhusiwi, nikaacha mpango huo. Hawa watoto inategemea na ukuaji wao kimwili na kihisia kwa maana kuna ambao hata golori bado hazijaanza kutuna na wengine chuchu tayari zipo na hamu ya mapenzi wameanza kutamani. Ni kukaa nao na kuwaambia tu kuwa kwa umri wao hawatakiwi kuangalia wala kutamani mambo ya ngono. Kazi hiyo ifanywe na mama yao au mlezi wa kike anayeishi naye, kwa wababa ni ishu kutokana na maadili yetu
 
Bongo muvi zinawaleta vibaya
 
Mzuri mwenyewe
 
Wazazi wa kisasa tuna changamoto kubwa sana kulea watoto wetu, sie wenyewe ni wa kisasa tunakimbizana na mindao. Kuna picha/video tunazipakua lakini si nzuri kimaadili kwa watoto. Simu itashikwa na mtoto halafu mafaili ya picha/video yako wazi, mtoto ataweza kuona utopolo huo
 
WAISLAM WAKISEMA,mtu yeyote yule aliyevunja ungo/anayepata hisia za mapenzi/kufanya mapenzi hata kama ana miaka 9 ni Bora aolewe.
MASHOGA watakuja kusema hapa huyo bado mdogoπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜†πŸ€£πŸ€£
UISLAM UPO MBELE YA MUDA
 
Kujenga urafiki na mwanao akiwa below 16 ni chanzo cha kumuharibu. Umri mzazi unatakiwa uwe mkali na mtoto akuogope, aogope kufanya yasiyofaa kwa kukuhofia ili asogee sogee. Akifikisha 16 ndo unajenga urafiki nae kwa kuzu gumza yale yanayofaa...

Hii mbinu iliwaokoa sana Millenials kushuka chini..
 
Mi mwenyewe porn nilianza kuangalia nikiwa age hiyo tena muda mwingine tulikuwa tunakaa watu zaidi ya 5 age na jinsia tofauti tunaangalia na mara nyingi ilikuwa ni kwenye mageto ya mabro au nyumba ya single maza anayeacha watoto peke yao muda mwingi. Kwaiyo sasa hivi kama mzazi najua katika sehemu mtoto hatakiwi kuzoea ni mageto ya wakubwa zake na nyumba za familia zisizoeleweka... Na bora usiwe na utaratibu wa watoto kuangalia muvi zozote wote ni washenzi siyo wazungu wala bongo muv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…