Ukikuta Mwanao wa kike Darasa la 6 anaangalia Ngono, unapaswa kufanyaje kumsaidia?

Amejinyonga , labda kwa hofu ya hatua ambayo angechukuliwa na baba yake pamoja na aibu kuu. Je, huyu mtoto alikuwa ameshaanza kuwa na hisia za mapenzi?
Kuangalia porn lazima atajinyegesha. Hata angekuqa na miaka 9.
Itakuwa kweli alijinyonga maana alishindwa ataishije na aibu ile.
Wazazi tupate fundisho tukio kama hili likikutokea tufanyeje?
 
Hii ya kuwa na ukali kwa mtoto ndio hufanya watoto wanakutwa na changamoto wakashindwa kusema kwa kuhofia kuadhibiwa hata kama hana kosa.. sababu bado ni mtoto..

Huo ukoloni wa namna hiyo ni wa kipuuzi na hauna maana yeyote..

Mimi nimekua na watoto ambao wazazi wao walikuwa mbogo na watoto hao waliishia kuwa kwenye makundi ya ajabu na kuwa sugu.. wengine wezi....

Ukali hausadii chochote.. ni upuuzi tu.. samahani kama nimekosea kusema hivyo..
 
Elimu itolewe bila aibu sis kipindi tunabalehe tulipewa elimu: madhara ya kufanya ngono, kuagalia porn, na tukapewa njia za kupambana na mihemko mfan unapopatwa na nyege toka mazingira yanayochochea upate hisia hizo,soma kitabu, fanya mazoezi
Mtoto anaposhidwa kupewa elimu yeye kila jambo kwake ni sawa
 
Well said mkuu...
Ndio, na ikiwezekana kama mama yake yupo anakaa nae na kumpa elimu kuhusu stage anayopitia na mabadiliko ya kimwili...
 
Huu ndo ushauri sasa kwa sasa kama mzazi hupaswi kuficha ficha chochote
 
We nae badala umwambie atafute boyfriend na a play safe unamwambia asubiri hadi amalize shule tena. Nyege huwaga zina msubiri mtu amalize shule kweli?
 
Kuangalia porn lazima atajinyegesha. Hata angekuqa na miaka 9.
Itakuwa kweli alijinyonga maana alishindwa ataishije na aibu ile.
Wazazi tupate fundisho tukio kama hili likikutokea tufanyeje?
kama ukimkuta kwanza usimkalipie mkalishe chini mwambie hata sisi tulikuwa kama wew unapomwambia hivy unapunguzia presha ili asilichukulie kama jamb ngumu unaendelea kumwambia tulitaka kufanya kama ulivyofanya wew lakn tukakumbuka madhara tutakayopata unamwambia xax madhara yake mwisho unamwamby hilo ni jamb mbaya san unatakiwa uache niahid hautoludia baadaye mtoe kamnunulie hata nguo
 
Mimi nin nani nikupinge, wapo mbele ya muda, ndio maana unashangaa sijui shehe kala mtoto wa Madrasa, kumbe yeye alikuwa anakula akijua ni halali.

View: https://www.youtube.com/watch?v=oPxIK_qtbPo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…