Umeongea vizuriMimi kama Millenial huyo mtoto angekuwa binti yangu ningemuita ..namuagiza soda mbili tunakaa nje kwenye bustani ya nyumbani kisha namwambia ulichofanya ni hali ya kibinadamu na lazima kila binadamu aipitie ,hata mimi na mama ako tumefanya ndio mana ukazaliwa wewe ila wewe bado utakiwa usome umalize shule utaleta mwanaume wako tutawapa baraka zenu ili nanyi mkafanye hivyo sawa mwanangu? ...pia usitazame hizo video zitakuletea mazoea hutafurahi ukiwa na mwenza wako muda ukifika unanielewa binti yangu kipenzi? Aya maliza soda yako kanunue viazi na nyama leo nina hamu tule chips mwanangu.FULL STOP
Kuna kitu nawaambia ambao tumezaliwa na wazazi wa 1950s- 1960 hiki ni kizazi cha kipuuzi sana ndio mana hata nchi yetu kuna baadhi ya mambo hayaendi kwa ujinga wao najua mama yangu yupo hili kundi na baba pia ukoloni wa kipuuzi kila muda na ndio mana mimi siwezi omba ushauri kwa mzee bora kijana mwenzangu.
Bado haiingi akilini. Hivi ulishawahi mwona mtu kajinyonga? Tuanzie hapo. Hili swala lina makandokando sanaAlikuwa mwaminifu sana kwa wazazi, mtu wa mafundisho na komunyo. huyu anawakilisha mamia ya watoto wanaoangalia pono na kujichua, tukae na watoto wetu.
Inatisha sana, malezi ni mtihani mgumu sana.Ila watoto wa siku hizi wamechachuka mapema imagine 13yrs old anajua kujisugua
SurelyHata zamani mi nilivokua shule ya msingi zaidi ya miaka 20 imepita mabinti kibao wa hio miaka waliia wanagongwa na walimu,
Acheni ujuaji wa kujifanya zamani watu walikua watakatifu
😂😂😂😂We nae badala umwambie atafute boyfriend na a play safe unamwambia asubiri hadi amalize shule tena. Nyege huwaga zina msubiri mtu amalize shule kweli?
Very pure beautiful
😁Ameshaelewa bana inatoshaUmeshaambiwa alikuwa anajisugua halafu unaauliza Tena ??
Sure, ilanwa siku hizi wanalelewa na I pad mkononi wanakua wakijua vitu kuanzia mapemaInatisha sana, malezi ni mtihani mgumu sana.
Nafikiri sisi tulikulia nyakati nzuri, miaka 13 tulikuwa tunacheza rede hata blauzi tunavua. There was nothing sexual.
Nzuri ni zipi hizo???Angemtafutia video nyingine nzuri za porno
ZA kibongo za kigana Giggy -Pesa, na yule miss TZ wa mwaka 200......Nzuri ni zipi hizo???