Ukikuta Mwanao wa kike Darasa la 6 anaangalia Ngono, unapaswa kufanyaje kumsaidia?

Mimi nafikiri mtoto chini ya 15 years akifanya sex hasikii hisia, inakuwa ni kama kumfanyia masaji mkoma, kumbe wana libido ,mimi Mama yenu mpaka nafika miaka 20 nilikuwa sijui haya mambo, nimekuja kujua baada ya kuchumbiwa nikiwa na miaka 24.
 
Mzazi mpumbavu huyo ...kama alikuwa anaangalia porno masna yake alikuwa sawa kibinadamu kwa sababu ni lazima binadamu anapo kuwa apitie hatua kama hizo
 
Mzazi mpumbavu huyo ...kama alikuwa anaangalia porno masna yake alikuwa sawa kibinadamu kwa sababu ni lazima binadamu anapo kuwa apitie hatua kama hizo
Upo sahihi nashangaaga sana watu wenye akili za kipumbavu kushindwa kuelewa jambo dogo kama ilo kuwa ni la kawaida la kimaumbile na kimatamanio ...
 
Mzazi hakungea kitu, alipita tu, sasa unamlaumuje?
 
Mimi nafikiri mtoto chini ya 15 years akifanya sex hasikii hisia, inakuwa ni kama kumfanyia masaji mkoma, kumbe wana libido ,mimi Mama yenu mpaka nafika miaka 20 nilikuwa sijui haya mambo, nimekuja kujua baada ya kuchumbiwa nikiwa na miaka 24.
enzi zetu na sasa ni tofauti kabisaa. Nowadays mtoto wa miaka kumi anamiliki smart enzi zetu hata ukipewa simu uishke tu unatetemeka. Kikubwa ni kukaa na watoto tuwaelimishe na sio kuachia walimu mambo yote. Japo mda mwingnd majukumu yanalazimu usikae na watoto wako bt ni vizur ukatenga hata kwa wiki mara moja ukae nao atleast itasaidia sehem. Mfano umepanga chumba kimoja humo humo mna watoto wanalala labda chn na vitoto vingne havilali usiku ni kama vichawi flani vikisikia tu mgegedano wa wazaz vinaamshana kusikiliza mechi, unatarajia nin hapo. Au mzazi una mavideo kama yote na unamwachia mtoto simu si lazima atataka ajue kilichomo? Enzi zetu mungu alisaidia sana.
 
Duh!
 
Mzazi hakungea kitu, alipita tu, sasa unamlaumuje?
Sikusoma vyote ...sema ukiwa na watoto wakike na wakiume inatakiwa kuwaambia mapema kuwa hisia za kike na kiume kwenye sex pia ni sehemu ya afya timamu ....dalili mbaya na ya hatari ni ukiona mtoto wako me au ke hana hisia za jinsi hiyo ni tatizo. Pia usiamini sana maneno ya huyo baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…