Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

Mzimu wa DUBE naona umekuacha..

"Kisi"
 
Kuna dogo kasema VETA ni mjenzi mzuri na muaminifu
Alipata tenda ya kujenga madarasa mawili akajenga vizuri sana na wasaidizi wake
Siku hizi anapata mpaka tenda za hospitali na watu binafsi kibao

Ngoja nimwambie awaajiri hao ma so called wahandisi wawe hata brick layers wake
 
Hivi MA anaweza kumuajili CA?
 
Elimu na akili: Engineer mwenye akili anaweza kujiongeza na Engineer mwenye elimu pekee, ni mpaka apate ajira ya kile alichosomea
 
Elimu na akili: Engineer mwenye akili anaweza kujiongeza na Engineer mwenye elimu pekee, ni mpaka apate ajira ya kile alichosomea
Kwanini wasifikirie wakaja na miradi ya ujasilia mali ili wao wawe mfano wa kuigwa
 
Wajaribu hata nchi za nje ..hivi unakuwaje injiniya halafu unakosa kazi?
 
Uhandisi ulioutaja katika hii 'sredi' ni mmoja tu, umetaja upande wa ujenzi...
 
Uhandisi ulioutaja katika hii 'sredi' ni mmoja tu, umetaja upande wa ujenzi...
Hao ndio ninaowazungumzia, mtaani ukimuambia mtu wewe ni mhandisi cha kwanza kufikiria ni ujenzi
 
Hao ndio ninaowazungumzia, mtaani ukimuambia mtu wewe ni mhandisi cha kwanza kufikiria ni ujenzi

Sawa mkuu, basi ngoja sisi wahandisi wa mazingira tuendelee kupanda miti na kuzibua mitaro ya majiji tusikutane na maswaibu ya kuzabuliwa vibao 😁😁😁
 
Wewe ni mjinga kabisa.. Na nazan hata neno engineer hulijui kbsa..

Kuna aina mbslimbali za engineer.. Tambua hzo.. Usidhan kila engineer ana deals na barabara..

Na hata cjui kama una elimu hata ya diploma ??kama umeshindwa tambua kuna aina mbalimbali za engineer
 
Wewe ni engineer wa sekta gani?
 
Watu mliofeli hesabu mnashida sana
hajui analosema anadhani mtu akiwa na skills za kujenga daraja ni basi
wapo wengi wanajua vitu ila hawana fursa ya kuvionyesha, na mtaji wa kuwa na kampuni mfano ya ujenzi sio mtaji wa kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…