Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

Mtoa mada hana nidhamu...japo hoja yake inafikirisha.
 
Vyeti vya darasani na maisha ya mtaa ni tofauti
 
mleta mada kama ulishafika level ya chuo nadhani wala usingekuwa na mawazo hayo uloyaleta hapa.

Nikifikiria maisha ya chuo na jinsi watu walivyotoboa toboa,wengine kwa kupanua mapaja wengine chapo,wengine mlungula wala usingeyaongea hayo.

kuna siku nilikuwa interview room ya kampuni XX na ma HR naskiliza watu wanavyojibu hayo maswali nadhani kama una moyo mwepesi unaweza angua kilio,

inshort wahitimu wengi TZ vichwani ni tupu,wachache sana unaweza kukuta kichwani na vitendo yupo 100% sawa
 
Kula kulala, mwenye kumudu kulipa daladala uamini watembea kwa miguu hawana akili ya kutafuta
....ni kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa...

mfano huyu hapa chini...👇
inshort wahitimu wengi TZ vichwani ni tupu,wachache sana unaweza kukuta kichwani na vitendo yupo 100% sawa
Haya ni matusi kwa wahitimu wa hii nchi na kwa vyuo wanavyotoka, neno sahihi kutumika hapo ni 'baadhi'......heshimu taaluma za watu.
 
Ngoja tumuulize Injinia Matomato,maana yeye yupo kwenye siasa,sijui Uinjinia kaukimbia...
 
....ni kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa...

mfano huyu hapa chini...👇

Haya ni matusi kwa wahitimu wa hii nchi na kwa vyuo wanavyotoka, neno sahihi kutumika hapo ni 'baadhi'......heshimu taaluma za watu.
Unoriginal
 


Ni kweli vile vilima vya mawe Mwanza au Gangilonga Iringa na katika mito ya maji yenye miamba na majabali wanayaangalia tu badala ya kuyatumia kwa ujenzi wa nyumba, majumba na barabara.


Tazama video hii uone wenzetu wanavyotumia rasilimali majabali, miamba na majiwe kwa ujenzi



Watch as he skillfully crafts his old world trade at 86 years old.
 
Jerryempire : inshort wahitimu wengi TZ vichwani ni tupu,wachache sana unaweza kukuta kichwani na vitendo yupo 100% sawa 👍👍


How the cobblestones are made?/Jak vznikají žulové kostky?

 
Halmashauri ya jiji la Mwanza Tanzania mradi wa barabara za mawe, je wahandisi na wananchi wanaweza kukopi aina hizi za barabara za mawe kote Tanzania ?

Vitongoji vya Igogo na Kitangiri jijini Mwanza vilivyojenga barabara za mawe, halmashauri zingine zisisubiri barabara za lami ambazo ni ghali sana pia lami hiyo inaagizwa nje ...mhandisi jiji la Mwanza awasihi watanzania na halmashauri kuchangamkia barabara hizi zinazodumu miaka mingi kupita za lami na malighafi yake ikipatikana ktk maeneo husika ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…