Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

Nipo hapa Engineer wa maji pia ni Engineer wa vifaa tiba, nimepigia SUA Dodoma.

Nashauri maEngineer wenzangu wachalazwe kabisa.
 
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
Hakuna Engineer wa hivyo, msitake kudhalilisha kada za watu
 
Hujaelewa point yangu, namaanisha mtu mwenye uwezo wa kujua aweke nguzo za aina gani na daraja lenye uzito flani baharini ili magari yaweze kupita ndio anaweza kushindwa kujua afanye biashara gani kweli??
Wewe unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa, elimu na ujuzi wa kujenga daraja vinaendana vipi na elimu/ujuzi wa biashara?!!
Ungesema watu waliosomea maswala ya biashara ndo wawe chachu ya kutatua changamoto za ajira hapo ungeeleweka.
 
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
Unachokisema ni kweli lakini changamoto kubwa ni mtaji, Engineer anamkuta hana hata hela ya kuanza kuishi mjini.
 
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
Ubunifu umejaa vichwani mwao kutokana na mfumo wa elimu yao. Wanasoma masomo mengi mno mpaka kuhitimu, na yote yakishinikizwa na hesabu(kasoro mawili). Wapo wasio na kazi, ktk jamii maboya hayakosekani.
 
Hujaelewa point yangu, namaanisha mtu mwenye uwezo wa kujua aweke nguzo za aina gani na daraja lenye uzito flani baharini ili magari yaweze kupita ndio anaweza kushindwa kujua afanye biashara gani kweli??
Samaki mzoefu majini, ukimweka nchi kavu unataka kumuua. Wahandisi wana bongo zilizo tanuka, lakini kuna fani mitaani hazitumiki au gharama kuanzisha inakuwa kubwa. Idadi yao mitaani inaongezeka, ikifikia wakazoeleka na vijana wakaona hakuna faida ya kusomea uhandisi, Tanzania ya viwanda haitawezekana kwa wahandisi wazawa.
 
Una uhakika gani kuwa nilifeli hesabu? Kwa taarifa yako hesabu hazikuwahi kunishinda na Advance nilisoma PURE MATHEMATICS kama mbadala wa BAM, siku nyingine uwe na adabu mkuu.
Nilisoma pure maths KAMA MBADALA wa BAM: !?
 
Jobless labda ukute cheti kimechongwa upande mmoja. Kama ni UDSM, kiwe original na kisiwe na chengachenga. ( Kutoa rushwa kwa wahadhiri)
 
wengi wamesoma ili kuajiriwa na sio kujiajiri......ukiwaambia nedna site ukawe saidia fundi....ili upate upenyo wa kuonyesha taaluma yako....hawataki......makofi hayatoshi na duchu pia.....
 
Hujaelewa point yangu, namaanisha mtu mwenye uwezo wa kujua aweke nguzo za aina gani na daraja lenye uzito flani baharini ili magari yaweze kupita ndio anaweza kushindwa kujua afanye biashara gani kweli??
kuna namna biashara ni kipaji/kipawa.

Ni sawa na mtu anaweza akawa mwanasiasa hodari anaongea hadi kura anapata ila akawa hawezi kutongoza mwanamke. 🤭🤭🤭
 
Hao ndio ninaowazungumzia, mtaani ukimuambia mtu wewe ni mhandisi cha kwanza kufikiria ni ujenzi
Wakati wapo hata Biological Engineers. Kuna mechanical engineers, civil engineers I. Kuna kitu kinaitwa motor kwenye field zote nilizotaja hapo. Ila kila field ina maana tofauti kabisa. Hivyo engineering ni Bahari kubwa na pana sana, hasa siku hizi. Acha sisi tuliokuwa tunatumia slide rule kufanya calculations.
 
Kuna mmoja ngoja nimuulize kwanza kabla ya kumpiga
Nalog off
 
Back
Top Bottom