kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani water resources nipo hapa naombeni mchongo basi,nipo kanda ya ziwaUnatukana mainjinia wote ambao hawana kazi kisha ktk maelezo yako yamebase kwa civil engineers. Mleta uzi unajua kua kuna mechanical,Water resources,airplanes, information and technologies, computers,electrical, telecom,mining,chemical,petroleum engineers?? ao wote wanahusika na ujenzi?? Kengelez ww
Hao Wahandisi ni binadamu tu kama wengine; hakuna la ajabu!Mods sitaki mbadili title,
Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.
Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.
Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,
Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?
Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.
Nawasilisha.
mi pia ni water resources bila shaka umesoma pale wdmi,ulihitimu mwaka gani?Jamani water resources nipo hapa naombeni mchongo basi,nipo kanda ya ziwa
Mkuu we kweli great thinker hii comment nimecheka kinyama baada ya kuielewa.😁😁😁Jobless anawahi kuamka akafungulie Kuku ziende kujitafutia halafu yeye anarudi kulala.
2019 mkuumi pia ni water resources bila shaka umesoma pale wdmi,ulihitimu mwaka gani?
Umetoka kuuchapa au usingizini mwanangu? Kukosa kazi ni jambo la kawaida hasa kutokana na sababu za kufanya hivyo.Mods sitaki mbadili title,
Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.
Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.
Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,
Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?
Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.
Nawasilisha.
Ushafanya interview za utumishiJamani water resources nipo hapa naombeni mchongo basi,nipo kanda ya ziwa
Tumehitimu mwaka mmoja..Mimi nimefanya interview Mara tatu za ajira portal juzi ndo nimebahatisha nafasi.kwa kada ya hydrologist technian ndo maana nakuuliza umesha apply na kufanikiwa kufanya mpk oral?2019 mkuu
Umepata ajira?hata Mimi Ni mhitimu wa pale na nimepata kazi kwa nafasi ya diploma baada ya kufaulu oral yao.. unamjua amimu?ye kamaliza nadhani 2018mi pia ni water resources bila shaka umesoma pale wdmi,ulihitimu mwaka gani?
No sijafanya interview utumishi,hua nafanya kwenye makampuni binafsiTumehitimu mwaka mmoja..Mimi nimefanya interview Mara tatu za ajira portal juzi ndo nimebahatisha nafasi.kwa kada ya hydrologist technian ndo maana nakuuliza umesha apply na kufanikiwa kufanya mpk oral?
Lakini SI Kuna sehemu umejishikiza unapiga kazi sio mbaya Kama una kijiwe utapata tu one dayNo sijafanya interview utumishi,hua nafanya kwenye makampuni binafsi
Wengine ni wababe angalia wasikung'oe meno.Wahandisi ambao ni ma jobless ni wengi ukisema utembeze makofi mkono utavimba
Mmmh kwa maelezo haya inaonyesha his kusoma hisabati A level.Una uhakika gani kuwa nilifeli hesabu? Kwa taarifa yako hesabu hazikuwahi kunishinda na Advance nilisoma PURE MATHEMATICS kama mbadala wa BAM, siku nyingine uwe na adabu mkuu.
Sidhani kama hata unaelewa nini umeandika, kwa hiyo vile ana uwezo wa kuchoronga milima na kupasua miamba na kupitisha magari baharini, huyu mhandisi atakuwa mzuri kwenye michongo ya biashara? Naomba ujisikilize tena... entrepreneurship is not for everyone mzeeiya.Hujaelewa point yangu, namaanisha mtu mwenye uwezo wa kujua aweke nguzo za aina gani na daraja lenye uzito flani baharini ili magari yaweze kupita ndio anaweza kushindwa kujua afanye biashara gani kweli??
mi pia mwaka uo uo2019 mkuu
Bado sijapata ajira, nlihitimu mwaka 2019 kwa ngazi ya shahadaUmepata ajira?hata Mimi Ni mhitimu wa pale na nimepata kazi kwa nafasi ya diploma baada ya kufaulu oral yao.. unamjua amimu?ye kamaliza nadhani 2018
Kwa hiyo walio soma biashara au business ukikutana nao wanalia hawana biashara piga makofi?Mods sitaki mbadili title,