Aisee nna mashaka wewe usingejibiwa zaidi ya kuzabwa makonde........Na konde la Mungu ni sawa na kuangukiwa na jengo la WTCMie ningemuuliza kwa nini kuumba warembo (jamani kuna warembo!) halafu hapo hapo kubandika Amri ya Sita?
Kwa nini ametuacha tukatengeneza pesa halafu inatunyanyasa? Kwa nini anakubali ndugu zetu wengine wawe vichaa?
Thanks.......Seems huna swali kwa Mwenye kila kitu chake duniani na mbinguni.Thanks for sharing. I like this.
Nyie watu hapo juu, mwaweza niambia mnachojadili hapa kama kina uhusiano wowote na Kumuuliza Mwenyezi Mungu maswali?
Usihofu hommie, sisi ni marehemu watarajiwa...
Usinikumbushe Padre Pius na Sista Magdalena aisee....
Nyie watu hapo juu, mwaweza niambia mnachojadili hapa kama kina uhusiano wowote na Kumuuliza Mwenyezi Mungu maswali?
Hivi shetani asingekuwepo, dunia ingekuwa na raha gani?Ningemuuliza kwa nini alituletea shetani duniani ili hali alijua kabisa kuwa sisi tu wadhaifu? Huyuhuyu shetani ambaye alikuwa mkorofi kule juu (Lucifer) akaamua kutuletea sisi!!
Mungu anasubiri swali lako...........
Dots chini ya mstari...... usisahau kuniwakilisha.
Hapo hapo anakugea mabinti wote wa MMU......... ukiwashindwa anakubwenga makwenzi....