Ukila nyama ya nguruwe (KITIMOTO) inakufanya uwe na akili zaidi

Status
Not open for further replies.

pusi kasoro manyoya wewe! sasa ukichinja baba au mwanao hujui kuwa utakuwa umeua na utakuwa umekiuka amri ya tano!acha kuwa na akili kama kima, biblia inasomwa kwa akili na si kimbumbumbu kama mnavyokaririshwa juzuu halafu mnashindanishwa nani kakariri zaidi! kwa taarifa yako biblia ni neno halisi na kweli na jinsi ulivyosoma siku za nyuma ukisoma leo unapata concept zinazoendana na present time sio sawa na lile neno lenu mfu lililofariki toka enzi zileee haliendi na wakati na hata mungu wake hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabu tu! huyo hawezi kuwa Mungu aliyeumba ulimwengu wote, mataifa, lugha na makabila yote na hivyo anapaswa kujua lugha na makabila yote! angalia sasa mungu wa qur'an yeye anajua kiarabu tu, ole wako uswali kwa lugha nyingine ujue imekula kwako hatakuelewa! huyo mnaemuabudu ni mungu wa kienyeji wa waarabu kama ambavyo mababu zetu walivokuwa wanaabudu miungu yao ya kienyeji mapangoni, milimani, chini miti mikubwa n.k
 

Sasa sijui na mimi nianze kutukana kukuita kilaza, mbumbumbu, bweg e n.k?

Wewe sasa hivi umetoka kusema kuwa Mungu ameshaelekeza namna ya kumuabudu na sio kuchinja wanyama, na ukasema kuwa mimi ni kilaza kwa kuwa sielewi maandiko. Sasa wewe huyo huyo unasema BORA unachinja kwa mujibu wa maandiko, sasa nikueleweje?

Au haya kukuyaandika wewe? "Hapo Mungu anasema njia za machukizo za kumwabudu mfano kwa kuchinja wanyama hao ni kama kumwua mtu nk. kama inavyosema aya hiyo. Mungu aliweka utaratibu wa kumwabudu amabo si huo wa kuchinja ngo'mbe nk. Anasema hizo ni njia zao tu za kujifurahisha na nafsi zao. yeye amechagua njia zake za watu kumwabudu.... Umeelewa we kilaza wa maandiko?"

Wewe juha kabisa. Unasema A halafu dkk 4 baadaye unabadilika. Mambo ya sanamu tuyaache kwanza, naomba tumalize haya ya kuchinja wanyama.
 

Kwa maana hiyo na wewe uache ku quote bible mambo ya walawi 11 kwa kuwa imeorodhesha viumbe wengi si nguruwe tu! kama unakubaliana na hiyo chapter ukubaliane nayo yote sio vipande vipande tu, unaacha vya pweza na ngamia na prawns unashikia bango kitimoto tu!
 

kwa faida hizi kuanzia kesho naanza kumla huyu .huenda nikawa next isaac newton
 

Usikimbie hoja!!!! Ya nguruwe imekushinda unarukia kupiga mawe. Kama hoja ni kumpiga mawe nguruwe tujadili lakin kama ni kitu kingine huo utakuwa ujanja wa kukimbia hoja. Mmebanwa maandiko mnakimbilia kujadili kitu tofauti na kilichopo. tujadili nguruwe!! Kwamba anayekula anakuwa na akili kuliko asiyekula. Maana yake ni kwamba kwa kuwa waislamu hawali basi watakuwa hawana akili kama wakristo wanaokula nguruwe. Huu ni uchokozi mkubwa kwamba baadaye katika kuchangia mada zitaletwa takwimu za shule za kislamu zilinganishwe na zile za kikristo kisha za kikristo zionekane zinafanya vizuri kuliko za kiislamu basi roho za watu zitakuwa kwaaaatuuu!!! Kumbe wamesahau kwamba shule za seminari kikristo ndo zinaongoza kwa kuvujisha mitihani halafu za kiislamu ndo zinafutiwa!!!!! Hilo watu hawalijadili kabisa. Hata kama shule za kiislamu miamoja zikifutiwa matokeo ya mitihani hakuna hata mkristo mmoja atakayejiuliza ama kuhoji. Wooote watachekelea tena sana!!!!!!!
 
kwa hiyo wale wafriday maandamano hawana akili kwa sababu hawali au?
 
Hapo kwenye red ni ngumu sana, cheki watu ndio kwanza wanakula hadi utumbo
 
Wapi nime quote Mambo ya Walawi 11? Katika threads zangu zote tukitumia program maalumu ya komputa kuzitafuta tangu nijiunge JF ulishawahi kuiona thread yangu japo moja imequote MAMBO YA WALAWI? Ilikuwa lini na wapi? Mimi sija quote aya hiyo hata siku moja!!!!! kama ni ku-quote ninazo aya nyingi sana apart from mambo ya walai 11. Ukitaka nikufundishe (kwa nia ya kuelewa si chuki binafsi za kuuchukia uislamu). Sijawahi na wala siwezi ku quote aya cha mtoto ka mambo ya Walawi 11. mimi ninazo aya baab kubwa nikikuonesha mpaka mwili utakusisimka (kama ni mwelewa).
 

Sasa sijui na mimi nianze kutukana kukuita kilaza, mbumbumbu, bweg e n.k?

Wewe sasa hivi umetoka kusema kuwa Mungu ameshaelekeza namna ya kumuabudu na sio kuchinja wanyama, na ukasema kuwa mimi ni kilaza kwa kuwa sielewi maandiko. Sasa wewe huyo huyo unasema BORA unachinja kwa mujibu wa maandiko, sasa nikueleweje?

Au haya kukuyaandika wewe? "Hapo Mungu anasema njia za machukizo za kumwabudu mfano kwa kuchinja wanyama hao ni kama kumwua mtu nk. kama inavyosema aya hiyo. Mungu aliweka utaratibu wa kumwabudu amabo si huo wa kuchinja ngo'mbe nk. Anasema hizo ni njia zao tu za kujifurahisha na nafsi zao. yeye amechagua njia zake za watu kumwabudu.... Umeelewa we kilaza wa maandiko?"

Wewe juha kabisa. Unasema A halafu dkk 4 baadaye unabadilika. Mambo ya sanamu tuyaache kwanza, naomba tumalize haya ya kuchinja wanyama
 



muoneshe mkuu
mana mzuka umempanda sana
 

Juha ni mtu yeyote asiyeelewa maandiko. Isaya 66(1) mpaka 66(4) Mungu hapendi sadaka zetu kwa ajili yake!!! Ndo maana anasema mtu akichinja ng'ombe kama sadaka yakumtolea Mungu ni machukizo!!! Huelewi nini hapo wewe kilaza namba 100 duniani? Katika aya hiyo (kwa kuwa wewe ni kilaza) nakuelwesha kwamba kuchinja ng'ombe kwa ajili nyingine hakukukatazwa ILA ukichinja ng'ombe kwa ajili ya sadaka ndo machukizo na si kile kitendo cha kuchinja!!! Mmezoea kusomewa maandiko na askofu wapi na wapi utaelewa wewe? kwanza huna roho mtakatifu maana unakula nguruwe na nguruwe ni najsi. mtu mwenye najisi hawezi kuwa na roho mtakatifu which means hawezi kuwa mtakatifu!!! Na ndo maana Yesu hakula nguruwe alikula SAMAKI!!!!!!
 

Sorry alikuwa ni yule mwenzio zomba nikaconfuse maana somehow mnafanana akili!
 
Irrelevant! hapa huna hoja unachachawa tu!

Sijachachawa!!! Falsafa yangu ni kubwa sana katika maandiko na ndo maana kunielewa inakuwa ngumu. huyu mkuu alitoa aya akihalalisha vitu vyote duniani ni halali kuliwa. Hakujua kwamba kuna aya (1Wakorintho 10: 23) inasema vitu vyote ni halali lakini si vitu vyote vifaavyo. Aya hii ina hekima kubwa sana lakini mjadili hoja ali- generalize kwamba vitu vyote ni halali. kumbe si vyote vifaavyo. uharamu wa vitu si kuwapo mahala bali ni matumizi. Aya ikaendelea kusema vitu viuzwavyo sokoni tuvile tusiviulizeulize. Ndo nikamjibu kwamba kitu mpaka kimefika sokoni kinakuwa kimefuata utaratibu. Nikatoa mfano kwamba unaweza kwenda sokoni kariakoo ukauliza nyama ya kenge je utaikuta inauzwa? Wacha niishie hapa inategemea naongea na mtu mwenye uelewa gani kumbe labda naongea na mtu anayeuchukia uislamu. mbona sisi hatuwachukii ninyi kama ninyi?
 
Sorry alikuwa ni yule mwenzio zomba nikaconfuse maana somehow mnafanana akili!

Kumbe tuna akili? mimi nilijua hatuna akili maana hatuli nguruwe..... Au ulimaanisha tuna akili mbovu zinazofanana?
 

Ahaa! Sasa nimekuelewa, wewe sio kilaza ila kilaza ni yule imamu aliyekuwa anahubiri kuwa ukimtolea maskini sadaka basi unamtolea allah. Na nijuavyo mimi, kondoo yule wa kafara lenu akishachinjwa 1/3 kwa familia, 1/3 kwa marafiki na iliyobaki kwa maskini.

Basi tangu leo nimeelewa kuwa SADAKA si ile ya kuwatolea maskini. Natamani maduka ya Ubani, mayai viza, nazi mbovu, udi, marash muje, ubani maiti, sanda, macho ya bundi na kaniki yangeuza pia kitimoto
 

Na ndio hoja ilikuwa imelenga hapo. Ila wewe umekosea kidogo tu. wenzio walitaka kutoa takwimu za shule za kiislamu na zile za kikristo. matokeo ingeonekana za kikristo zinafanya vizuri kuliko za waislamu maana hawali nguruwe. Roho zenu zingekuwa kwatuuuuuu!!!! Lakini napenda niseme neno moja. Huwa mnasema waislamu hatuna akili maana hatusomi au huwa hatuna akili kwa sababu ya madrasa. sasa leo mnasema kuwa hatuna akili kwa kuwa hatuli nguruwe..... Sasa nawaomba mtoe neno moja tu kwamba waislamu hatuna akili kwa sababu fulani.... na siyo leo mnasema hili kesho hili mwisho wa siku mtaonekana ninyi ndo hamna akili maana hamsemi kitu chenye msimamo. ni propaganda zisizo na msingi. tangazeni katika vyombo vya habari kwamba waislamu hatuna akili kwa sababu hatuli nguruwe ama kwa sababu ya madrasa au sababu fulani. muwe na msimamo mmoja. Hivi watafiti gani huwa wanakuja na conclusions tofauti kwa the same research????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…