Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kumbe tutaanza na holy man.

Unampa kwenye chupa ya soda.

Kwahiyo chakula kizuri kula kabla ya kunywa pombe ni kipi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hata haina haja ya kuwadanganyia chupa ya soda. Smirnoff ya kopo ipo kama apple punch tu 😂

Nyama choma, makange, vyuku, hotchair and the like. ila ubwabwa big no, na chips yai.
 
Wala hata haina haja ya kuwadanganyia chupa ya soda. Smirnoff ya kopo ipo kama apple punch tu [emoji23]

Nyama choma, makange, vyuku, hotchair and the like. ila ubwabwa big no, na chips yai.
Kumbe kama Apple punch[emoji23][emoji23][emoji23]
Kidogo unanipa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikinywa pombe kali napoteza kumbukumbu, napenda sana beer, nikiwa sijanywa ni mpole sana na mstarabu. Nikilewa nakuwa mwongo sana na ahadi nyingi za uwongo afu naongea sana mpaka naboa. "Nimeacha" View attachment 1874664
IMG_20210704_164945_447.jpg
 
Anatuzingua huyu yani mi sikumuelewa kabisa yuko serious anaagiza maji afu anasema anatamani anywe. Sijui opportunity anayosubiria ni opportunity ya aina gani na itashukaje kutoka mbinguni. Nadhani anasubiri mbingu ifunguke sauti isikike kutoka mawinguni ikisema "piga vyombo mwanangu mpendwa niliyependezwa nawe"
Hahaha
Sijui ni ushauri wa rangi gani bado hajaupata mpaka anashindwa kufanya maamuzi.

Pombe tamu ukiinywa kwa kiasi 😍
 
Wala hata haina haja ya kuwadanganyia chupa ya soda. Smirnoff ya kopo ipo kama apple punch tu [emoji23]

Nyama choma, makange, vyuku, hotchair and the like. ila ubwabwa big no, na chips yai.
Hiki kinywaji ni balaa, nadhani aanzie humu

Hahaha
Sijui ni ushauri wa rangi gani bado hajaupata mpaka anashindwa kufanya maamuzi.

Pombe tamu ukiinywa kwa kiasi [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mnavyotoa ushauri wenu Kuna watu wanakuja na mwingine wa kunikata maini najikuta nanyong'onyea sitamani tena kujaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom