Yan. wewe ukamsikiliza yule mr. Coffee
Kutapika kupo kama utakula wali ndio unywe pombe. Au ukimix... Kuna siku nilimix vitu mimi kesho yake asubuh niliamkia kutapika [emoji23] nilijutaa
Nilianzia serengeti lite nikaona kama imekuwa chungu sana nikaiacha. nikaenda kwenye redds nikaona kama silewi nikapiga tot ya grant's. Tukahama kiwanja tulikohamia ikaagizwa saint Anna ikaisha tukaagiza dompo 'hii dompo niliwashauri, dompo ukimix na ice inakuwa tamu sana.
Weee kilichotukuta kesho yake? Tuliumwa mning'inio wa hatari, fanta haisikii, coka haisikii, soup haisikii mwili umechoka Chakula hakipandi, tulikuja kupona jioni baada ya kushtua na desperados.
Yan hapo ndio utajua drink responsibly uwa wanamaanishaje [emoji23]