Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Nilikuwa natamani kama wewe nikaishia kuiweza kulamba-lamba St. Anna pekee,
Ule utamu wake na the way inakufanya ujiskie baada ya kunywa sikujutia, na pia nikaishia hapo.!
Nilishakaambia katest saint Anna ila hakaelewi. Kila siku kanaendelea kuomba ushauri 😂 sikaelewi, sijui kanataka kusikia kipi kipya?


Saint Anne au jaribu strawberry lips, sema ile ni tequila inaweza kukujutisha 🤣
 
Nilishakaambia katest saint Anna ila hakaelewi. Kila siku kanaendelea kuomba ushauri [emoji23] sikaelewi, sijui kanataka kusikia kipi kipya?


Saint Anne au jaribu strawberry lips, sema ile ni tequila inaweza kukujutisha [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ile holy man alikuja akavuruga ushauri ulionipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa tu kuna watu walishanikata maini[emoji23].

Ila isije kuwa kuna kutapika nikinywa[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya pombe utoe ahadi ambazo hazitekelezeki au kujipa vyeo ambavyo huna ..kunywa pombe na kwenda kulala ni matuzi mabaya ya pombe na afya yako

Kunywa pombe kisha zikipanda kichwani ambia watu upo na ajira za kutosha lakini huoni vijana waaminifu wa kufanya nao kazi.Wape zoezi la kuandika barua na CV wakuletee kesho uwape kazi

Wakati huo wewe unakunywa ili upunguze stress za maisha ya jobless .[emoji23][emoji23]ambaye hanywi pombe anakosa vitu vitamu sana kwenye dunia ilijojaa chuki, husda na kuvunja moyo
 
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza maza akija kuona haya mawazo yangu ya kutaka kujaribu pombe nahisi atazimia kwa presha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atajua nimerogwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise hii kitu
FB_IMG_1622728666313.jpg
 
Back
Top Bottom