Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we mshenzi umenichekesha sanaRaha ya pombe utoe ahadi ambazo hazitekelezeki au kujipa vyeo ambavyo huna ..kunywa pombe na kwenda kulala ni matuzi mabaya ya pombe na afya yako
Kunywa pombe kisha zikipanda kichwani ambia watu upo na ajira za kutosha lakini huoni vijana waaminifu wa kufanya nao kazi.Wape zoezi la kuandika barua na CV wakuletee kesho uwape kazi
Wakati huo wewe unakunywa ili upunguze stress za maisha ya jobless .[emoji23][emoji23]ambaye hanywi pombe anakosa vitu vitamu sana kwenye dunia ilijojaa chuki, husda na kuvunja moyo