Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kumbe tutaanza na holy man.

Unampa kwenye chupa ya soda.

Kwahiyo chakula kizuri kula kabla ya kunywa pombe ni kipi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hata haina haja ya kuwadanganyia chupa ya soda. Smirnoff ya kopo ipo kama apple punch tu πŸ˜‚

Nyama choma, makange, vyuku, hotchair and the like. ila ubwabwa big no, na chips yai.
 
Wala hata haina haja ya kuwadanganyia chupa ya soda. Smirnoff ya kopo ipo kama apple punch tu [emoji23]

Nyama choma, makange, vyuku, hotchair and the like. ila ubwabwa big no, na chips yai.
Kumbe kama Apple punch[emoji23][emoji23][emoji23]
Kidogo unanipa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha
Sijui ni ushauri wa rangi gani bado hajaupata mpaka anashindwa kufanya maamuzi.

Pombe tamu ukiinywa kwa kiasi 😍
 
Wala hata haina haja ya kuwadanganyia chupa ya soda. Smirnoff ya kopo ipo kama apple punch tu [emoji23]

Nyama choma, makange, vyuku, hotchair and the like. ila ubwabwa big no, na chips yai.
Hiki kinywaji ni balaa, nadhani aanzie humu

Hahaha
Sijui ni ushauri wa rangi gani bado hajaupata mpaka anashindwa kufanya maamuzi.

Pombe tamu ukiinywa kwa kiasi [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mnavyotoa ushauri wenu Kuna watu wanakuja na mwingine wa kunikata maini najikuta nanyong'onyea sitamani tena kujaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…