Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kuna kulala mitaroni tena?[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kulala mitaroni tena?[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hujawahi waona wana wa hivyo? Unajuwa, wakati unakunywa, unaona muda umesimama, pombe haitoshi..etc.. unakuja shituka, saa saba usiku hii hapa na upo MBWIIIIIIIIIIIIIII...!!! Wa kuondoka bila kuaga washasepa kitambo sana, umebaki peke yako.. Unapowaza kwenda home, unaweza jikuta unajisemea, HEBU NIKAE HAPO KWANZA NIPUMZIKE KIDOGO..!!! Ntolee hiyo...!! Mara paap, kitu cha subuhi hiki hapa na upo pale pale uliposema ukae kidogo upumzike..!!
 
Mpendwa usijaribu mimi niliwahi kuchanganyiwa kwenye juice ni chungu zaidi ya kutapika na kuumwa sana kichwa hakuna zaidi huwa najiuliza walevi wako sawa kweli.
We ulikunywa pombe gani ya kishamba namna hioπŸ˜…?!

Aliesema pombe inachanganywa na juisi ni nani huyo kisha akakuwekea pombe kwenye juisi! Lazma ilichacha hio juisi maana pombe imechachishwa ndio ikawa na ulevi!
 
Hizo pombe za namna hii ndio mie sinywagi πŸ˜… pombe za mpaka unasahau kurudi kwako?
 
We ni mnywaji kama mimi tu, mie sijawahi kuwa mtumwa wa pombe! Nakunywa when i feel happy and excited about something good in life! Sijawahi kunywa sababu ya matatizo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utajiskia feeling flani hivi nzuri sana hasa uwe sehem yenye mziki tulivu πŸ˜… halafu ipigwe ngoma inayokufurahisha lazma utachezesha mikono na kichwa πŸ˜…!

Kama unaijua ile feeling ambapo sms ya imethibitishwa imeingia hela ndefu ambapo ulikuwa hujui siku inaishaje basi raha ile iwe katika muendelezo sasaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahaha

wana wanazungusha tu aisee mpe mbili huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Dawa ni kusepa kimya kimya..!!! Unafanya hivi, unaondoka mara ya kwanza kama unaenda washroom, then unarudi... Unakaaa, halafu unaondoka tena kwenda washroom na unarudi tena... Mara zote hizo huagi..!!! Mara ya tatu ukiondoka kama vile unakwenda washroom, NDO UNASEPA JUMLA NA KAMA NI SIMU UNAZIMA
 
Utajiskia feeling flani hivi nzuri sana hasa uwe sehem yenye mziki tulivu [emoji28] halafu ipigwe ngoma inayokufurahisha lazma utachezesha mikono na kichwa [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaweka gospel matata,au bongofleva za zananii.
 
Utajiskia feeling flani hivi nzuri sana hasa uwe sehem yenye mziki tulivu πŸ˜… halafu ipigwe ngoma inayokufurahisha lazma utachezesha mikono na kichwa πŸ˜…
IKIKOLEA UNASIMAMA UNACHEZA..!!! Yaani wakikuwekea unaoupenda, wanakuwa wamepa mchezo show wa siku hiyo..!!! DJ akizungua unamfuata... OYAA NIWEKEE MASEBENE YA KOFFIIII... na unamtoa na bia..!!
 
IKIKOLEA UNASIMAMA UNACHEZA..!!! Yaani wakikuwekea unaoupenda, wanakuwa wamepa mchezo show wa siku hiyo..!!! DJ akizungua unamfuata... OYAA NIWEKEE MASEBENE YA KOFFIIII... na unamtoa na bia..!!
Hahahah hio nilishamfata dj kabisa nikaona ananifelisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… aniwekee la fally ipupa associe au 100 kilos ya ferre gola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…