Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ohoo basi sitajaribu.Nahisi utaenda mbali zaidi ya kulewa
Kuna faida nyingi mno ukiwa mtu wa kujichanganya huoni jamii za kichaga au ukienda chuga watu wanakula bia na wanasaka pesa namaisha yanaenda poa kabisaISO M.CodD [emoji23]
Toa ushauri wako kwangu kuhusu pombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli.Moja msingi wa imani yako ni kutokunywa pombe, ukinywa tayari umevunja sheria ya Bwana
Si ndio maana nikamwelekeza hicho kinywaji lainiPlz huyo huyo binti ni binti Sayuni mkuu
Hiyo itakuwa kama fungulia mbwa.Ohoo basi sitajaribu.
Halafu kila nikisema hili wazo watu huwa wanajitojeza kunipinga.
Wachache huwa wananiunga mkono.
Nahisi Mungu anatuma watu wanikataze[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nataka nione tu huwa kulewa kunakuwaje.
Nikishaona tu kunavyokuwa basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tunywe pombe
saizi ya kati haina tabu
Utajikuta umeanzisha na ile safari pendwa kwa kasi mno[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu alinishangaa Sana eti kwanini sinywi pombe.
Akasema piga vyombo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah aise unaishi sayari hihi tuliopo sisi sasa unafel wap mkuuSiku nikinywa sijui nitakuwaje...sijawahi kuonja hata wine
Yasisitiza usijaribu mama mchungaji tafadhaliKumbe inapunguza stress kwa muda!
Na mimi nataka inipunguzie usiku tu ili niweze kulala.
Mchana sina changamoto Sana..nakuwa normal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwaje kuwaje eti?Nilikuwa natamani kama wewe nikaishia kuiweza kulamba-lamba St. Anna pekee,
Ule utamu wake na the way inakufanya ujiskie baada ya kunywa sikujutia, na pia nikaishia hapo.!
Dah[emoji23]
Eti kaburi liamue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mimi najaribu tu Mara moja,wala sitaendelea.
Kuna vitu nisije kufa sijavijaribu duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi unywe ukiwa katika hali gani?Kanuni njema ni usinywe pombe ukiwa na stress au furaha sana
Inapendeza mno mkuu.Kuna faida nyingi mno ukiwa mtu wa kujichanganya huoni jamii za kichaga au ukienda chuga watu wanakula bia na wanasaka pesa namaisha yanaenda poa kabisa
Toba [emoji1787]Hiyo itakuwa kama fungulia mbwa.
Mimi nilijikuta sio tu nakunywa japo ni wine lkn nilijikuta ni sukari ya warembo hadi niliposhtuka
Hee[emoji23]Ohooooo! Usivue nguo tu ukabaki uchi [emoji1787][emoji1787]
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23]Utajikuta umeanzisha na ile safari pendwa kwa kasi mno[emoji1787]