Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we mshenzi umenichekesha sana
 
Inakuwaje kuwaje eti?

Mimi huwa najiuliza sipati majibu,watu wanalewaje??
Yaani mtu anakunywa tu Yale maji hadi analewa[emoji848]
Huwa najiuliza sana inakuwaje kuwaje[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulewa inategema na kichwa cha mtu.

Me nikilewa Sana nasinzia kinyama, kwanza siongeagi sana.Macho yanalegea kichwa huo muda kinaniambia kalale kalale weee. Yan napataga sana usingizi.

Nina rafiki yangu akilewa ni aibu kwa company nzima. Napataga tabu za kumshtua 'hey stop it stop that.

Nikilewa kidogo napata vibe la kudance, nakuwa happy hatari, nakuwa story teller naongea 😂

Yote kwa yote pombe ukijua kuicontrol mbona pambe tu. Ni nzuriiiiiiiii, me hainiendeshi, naweza kata 3 months sijaitia mdomoni.
 
Mimi hua naanza kulia nikigida sana hasa nikipiga za kawaida then uniongezee k vant ntalia weee kama mtoto
[emoji28][emoji28][emoji28] unanikumbusha miaka ya 2004 nikiwa Chake-Pemba kuna Mangi mmoja alikula safari Moto kadhaa aliangua kilio kikubwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Utakuja kuamka ujikute na Birthday suit halafu sehemu usiyoijua wahuni washasepa [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kufanya yao. Shauri yako wahuni si watu.
Kwamba watakua na njaa ya vitumbua [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Pamoja na changamoto unazopitia mdogo wangu bado nakushauri usithubutu kujaribu

Naamini ukitumia haita kuondolea hizo stress bali itakupa break tu kwa muda na itakuongezea zaidi ya hizo uzipatazo

Ninaamini zitakwisha tu jitahudi kuvuta subira tuu
@Saint Anne mimi na huyu ndugu tumenawa mikono yetu, usiache kuscreenshot posts hizi for future...najua hatua uliyonayo kuonja ni kubwa sana, hadi uonje ndio utatulia.
 
ambao tumeokoka tu comment wapi...??.😌😌😌
 
Nilishakaambia katest saint Anna ila hakaelewi. Kila siku kanaendelea kuomba ushauri [emoji23] sikaelewi, sijui kanataka kusikia kipi kipya?


Saint Anne au jaribu strawberry lips, sema ile ni tequila inaweza kukujutisha [emoji1787]

Anatuzingua huyu yani mi sikumuelewa kabisa yuko serious anaagiza maji afu anasema anatamani anywe. Sijui opportunity anayosubiria ni opportunity ya aina gani na itashukaje kutoka mbinguni. Nadhani anasubiri mbingu ifunguke sauti isikike kutoka mawinguni ikisema "piga vyombo mwanangu mpendwa niliyependezwa nawe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…