Watanzania tuna tatizo kubwa la uchama. Hata bila ya uchunguzi wa kina, utagundua hata wasomi wakubwa km Dr, Prof, nao ni walewale tu
Safari hii limezuka kundi la watu wanaomnanga vibaya Prof. Assad, na hawa ni wale wanaoegemea CCM
Na wale wanaomsifia wengi wao ni wa upinzani na wanaharakati nuetral
Usishangae kumuona Dr km Dorothy, Hamis n.k wakiwa vigeugeu na wanafiki utafikiri sio wanazuo...Inasikitisha
Ndug zangu, tutafute hela, hakuna mfanyabiashara mnafiki mnafiki km hawa ndug zetu.
Hao vijana tunaowaita wafanyabiara lkn wana maisha ya uchama, hao ni wajasiliamali tu, bado wana njaa kuanzia kichwani had tumboni... Biashara zao zinahitaji kujipendekeza chama tawala ili ziendelee
Asalaam