Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #41
upo sahihi kabisa. prof mwenye akili hawezi jisifu anaacha kazi yake mwenyewe ionekane si kuongea kwa kuonesha kuwa yeye ni somebody. hapo alipoteza umakini kabisa. alipasw aawe humble asimamie anachoamini kwa hekima na heshima.Mtu mwenye High IQ hawezi kujisifu hata siku moja, bali huacha kupitia kazi yake watu wamsifu, hivyo mimi kwangu sijaona chochote kwa huyu ,,Profesa“ usisahau kwamba neno Prof. Tanzania liko misused sana, wengi wao wanaojiita Prof. hawawezi kupata chair yoyote popote pale Duniani ya kufanya research ya maana, ni kisiasa zaidi.
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
umekuja mtetea bwana ako kumbe? ndiye unajua anavyokudindia? ndo maana.......Weka data acha kubwabwaja. wakati nyinyi mnaimba mapambio ya kumsifu bwna wenu Prof. ndiye mashine iliyomdindia Magu na bunge zima
Naona umepigwa na kitu kizito kichwanielimu yako tafdhali naona bado hujafanya mtihani wa la nne
upo sahihi haya kuna watu wana mheshimu sana amber ruty kupanga ni kuchagua.Sisi tuna mheshimu sn ila siyo smart kwako
Huyo mzee assad msenge sana nusu anifanye nisimalize chuo kisa ada. Namchukia sana boya huyo
wewe mayalla huaminiki kisukuma ni njaa. ukiwa na njaa unaweza fanya na kusema lolote. WEWE HUAMINIKI KAWE ULIPEWA KURA MOJA KAMA SIKOSEI NA WAJUMBE. HUWEZI UKAONGEA KITU CHA MAANA. maana ulishaongea yoooote ukamaliza.Agopa sana kitu kinachoitwa karma. Kujaribu kumshusha mtu brilliant na smart kama Prof. Mussa Assad, kwa hoja muflis za uongo, there is a price to pay!. Prof Assad ni very smart. Msikilize hapa hoja kwa hoja
P
aliumia sana ndo maana kawa na hasira. unamwona anaongea kwa jazba na si academically. amekosa hekima na busara kabisa. ni mtu ambaye ana machungu sana.Profesa anajichora kwa kuruhusu tumjue sana, amekuwa cheap and available kwenye public domain…. kilaza yeyote anaweza kumjadili.
Sio mwanasiasa, ameshafurushwa ofsini…. basi atulie.
sawa dada.Huna lolote Wivu mtupu
Hakika mimba aliyokuachia inakuendeshaHata Lisu alituambia tutashitakiwa MIGA .Kufupi elimu ya Tanzania ni uongo mtupu
Mi naomba siku moja Prof Assad na yule baba wa Bungeni yaani Yesu mume wa maria wafanye paper - msimalizi awe Jaji mkuu afu matokeo yatangawe hadharani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wala hauhitaji mihemko kujua jamaa ni zero brain, ni ajabu sana mtu anapokea ushauri kutoka kwa kiumbe ambae hajui biashara, hana biashara inaojulikana, hana familia yenye background ya biashara, na wala hajawahi soma biashara! Lakini unapokea ushauri kutoka kwake , ndo yale tunasema mjinga na mjinga wanapokea ushauri
Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?
Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika. CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...www.jamiiforums.com
CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?
Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash - ------------- Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe...www.jamiiforums.com
ukasome izo kwanza
Kwa lugha yako tu inaonekana ulikoswakoswa na Disco!Huyo mzee assad msenge sana nusu anifanye nisimalize chuo kisa ada. Namchukia sana boya huyo
Unacheka nini hapo au unajichekesha.!
Nyie si ndio mnasema hata Nyerere hakuwa na akili alikuwa anaangalia TV za nje anapata "nondo" ?!!!Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
Umeelemewa ruksa kutelekeza uzi. Ushauri ni kwamba next time ficha upumbavu wako
Inaonekana wewe ndio una mihemko!Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.