Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

Tangu awali nimekuwa nikisema ya kwamba huyu Assad ni Profesa wa ovyo kabisa. Na tangu ametumbuliwa baada ya kujifanya "Mhimili" amekuwa kama amerukwa na akili!
 
"Akili" haina kipimo kimoja. Kuna "akili" aka "intelligence" za aina kadhaa na vipimo tofauti. Jee, ni akili ipi unayoizungumzia hapa? Kama hujui chochote angalau nenda Wikipedia au Google ukajifunze kwanza.
 
Nilishasema tangu awali Profesa Assad ni msomi mzuri lakini hana maarifa kabisa. Katika dunia ya leo maarifa ni kitu muhimu sana.
 
Hata Lisu alituambia tutashitakiwa MIGA .Kufupi elimu ya Tanzania ni uongo mtupu
Lissu naye ni msomi asiyekuwa maarifa. JPM aliwatumia wasomi wenye maarifa wakatafuta weakness za Acacia wakawabana kisheria wakaondoka wenyewe bila hata ya kushitaki MIGA.
 
Hata Lisu alituambia tutashitakiwa MIGA .Kufupi elimu ya Tanzania ni uongo mtupu
Kuna taahira mmoja alitudanganya kwa muda mrefu kwamba hakuna Corona ikamfyeka yeye na jiran yake. Ati nae alikuwa PhD wa kemia
 
Lissu naye ni msomi asiyekuwa maarifa. JPM aliwatumia wasomi wenye maarifa wakatafuta weakness za Acacia wakawabana kisheria wakaondoka wenyewe bila hata ya kushitaki MIGA.
Kweli kama professor kabudi wa jalalani
 
unakumbuka kauli yake kuwa wafanyakazi wa serikali karibia wote ni vilaza? una baba au mama mtumishi? wewe mtumishi wa serikali?
Alisema karibia wote ila sio wote, na sidhani kama alitumia nene "VILAZA"
 
Sasa umeongea ujinga gani huu🚮🚮🚮 inaonyesha kabisa mtu wa kwanza ambae sio smart ni wewe! Tulitegemea ungetuletea hata mambo 5 yanayoonyesha kuwa Prof Assad sio smart. Akisema hakuna nchi dunia nzima inanunua ndege sio opinion yake, ni fact! Kama unampinga kwahilo hebu tuonyeshe ni nchi gani duniani inanunua ndege kwa cash..itaje!
 
Katika wake zake Wewe ni yupi? Maana umekuja ume panic sana. Huwezi kuwa ni mtu wa kawaida kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…