Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya CCM imejaa washauri wasiojua umuhimu wa pato la Taifa wanakosa pesa nyingi kwenye ununuzi wa line, kwani line nyingi huongeza mapato na pia wenye photocopy hupata pesa wenye viwanda vya karatasi huuza zaidi na Serikali kujipatia kodi
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Náibu Rais ndugu Daud Bashite asiye na vyeti anzia hapo ndipo uendelee
Tupeni laini ,hizi mbwembwe hazitawasaidia,hongera kwa serikali ya awamu ya tanoHivi hawa TCRA hawajaona changamoto za kutatua katika sekta ya mawasiliano mpaka wanakuja sheria zisizo na mantiki,sehemu kubwa ya nchi mawasiliano ya simu bado ni dhaifu Sana au hakuna kabisa.
Hayo Ndio mambo ya kushughulikia.
Hii sheria ni ya kisoshalist na kiimla zaidi,ni sawa na kuniambia nisimiliki magari mawili aina ya Toyota.
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
Wakala wa MPesa au Airtel moneyKwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
REASONS FOR ADDITIONAL NUMBERS
SABABU ZA UHITAJI WA NAMBA NYENGINE ZA ZIADA AMBAZO NI ZAIDI YA NAMBA YA SIMU YA MWANZO
SELECT A REASON
CHAGUA SABABU
1. For additional devices
KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA SIMU NYENGINE.
2. To separate office and private usage.
KUTOFAUTISHA LAINI YA MATUMIZI YA KIOFISI NA MATUMIZI BINAFSI.
3. To separate business and personal usage.
KUTOFAUTISHA LAINI YA MATUMIZI YA KIBIASHARA NA MATUMIZI YANGU BINAFSI.
4. For Mobile Financial Services
KWAAJILI YA MATUMIZI YA HUDUMA ZA KIFEDHA KUPITIA SIMU.
5. Mobile Number Porting – with reasons
KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUBAKI NA NAMBA UNAPO BADILI MTANDANO WA SIMU.
6. Increase Branches/Shops/Business
KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA MATAWI/MADUKA au BIASHARA NYENGINE.
7. Increase staff/employee
KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA WAFANYAKAZI.
8. Test Numbers for compliance purposes
KWAAJILI YA MATUMIZI YA MAJARIBIO YA MADHUMUNI YA UFUATAJI WA UTARATIBU.
9. Test Numbers for roaming partners
KWAAJILI YA MATUMIZI YA MAJARIBIO YA HUDUMA ZA KIMATAIFA NA WASHIRIKI.
Akiwa na laini nyingi wewe inakukera? What if kila laini ina matumizi separate? Hao TCRA ni mbwa; mwanzo tuliambiwa unaruhusiwa kusajili laini mwisho 5 kwa kila mtandao, sasa wanakuja na mengine. Taasisi za kitanzania ni za kipuuzi sana.
Kwanza watupe reasoning kuna kosa au madhara gani ya kumiliki line zaidi ya moja ya mtandao mmoja maana wengi sisi ni wafanyabiashara vijiji vingine mitandao ya pesa ni kampuni fulani ndo common,na Hakuna benk vijijini nahitaji kununua mifugo au mazao nalazimika kuwa na laini hata tatu za kuweka pesa.Hebu Wakuu watumie common sense, mimi nina laini mbili za airtel, Voda na tigo...laini moja natumia kwenye simu na moja ya kutumia kwenye modem...itawezekana vipi nikitaka kutumia modem nitoe laini kwenye simu na isababishe nisiwepo hewani siku nzima?.
Wakumbuke hii mitandao haiko stable kwenye suala la network, kuna wakati unanunua bando la airtel unakuta network iipo slow inabidi ujaribu tigo au voda...kwa maana hiyo ni kwamba Mtu unalazimika kuwa na laini mbili walau kwa kila mtandao ili usikwamishwe shughuli zako kwa kutegemea network ya mtandao mmoja.
Kwa nini TCRA wasianze kuziwajibisha kampuni hizi za huduma iwapo nitanunua kifurushi na sijakitumia basi nirudishiwe pesa zangu...maana nalazimika kununua tena kifurushi kwenye mtandao mwingine.
Kuna wengine wanamiliki laini mbili kwenye mtandao mmoja kwa matumizi tofauti kwa mfano moja iko kwa modem kwa ajili ya internet na nyingine kwenye simu kwa matumizi ya kawaida. Watafungwa wengi kwa kuwaonea tu. Lakini tujiulize kuna madhara gani kwa mtu kumiliki zaidi ya laini moja kwenye mtandao mmoja, ikiwa zote amezisajili kisheria?Tarehe 27 na 29 Juni, 2020, nilitumiwa sms hizi.
MUHIMU
You registered more than 1 SIM card using your NIDA ID. TCRA requires you to verify the numbers you own, dial
*106# to check.
Ni kweli ukisemacho.. ila kuna wengine wamewasajilia ndugu, watoto, marafiki, wake/waume.. sijui hapo inakuwaje.. Maana mtumiaji si mwenye jina lililosajili laini hiyoKuna wengine wanamiliki laini mbili kwenye mtandao mmoja kwa matumizi tofauti kwa mfano moja iko kwa modem kwa ajili ya internet na nyingine kwenye simu kwa matumizi ya kawaida. Watafungwa wengi kwa kuwaonea tu. Lakini tujiulize kuna madhara gani kwa mtu kumiliki zaidi ya laini moja kwenye mtandao mmoja, ikiwa zote amezisajili kisheria?
Pole!Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Taasisi zinaongozwa na wenye roho mbaya unategemea nini?Akiwa na laini nyingi wewe inakukera? What if kila laini ina matumizi separate? Hao TCRA ni mbwa; mwanzo tuliambiwa unaruhusiwa kusajili laini mwisho 5 kwa kila mtandao, sasa wanakuja na mengine. Taasisi za kitanzania ni za kipuuzi sana.
Kweli kabisa mkuu usemalo. Na ndiyo yamejazana huko.Taasisi zinaongozwa na wenye roho mbaya unategemea nini?
TCRA watupe ufafanuzi wa sheria hii.Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
Ww ni binti Edo, au?Ulitumia jina gani
Ha ha ha.. hapo faini ya m5 kwa Kila line ya ziada, andaa Tsh m25 jumlisha sh 75 ,000 kwa siku kwa Kila line kujihakikishia usalamaNchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2