Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

mkuu ao wanawake wanaojitia kupenda sana wapuuzi tu labda nakosea ila upande wangu niko saw a kuna kimwanamke kilijifanya kunipenda sana.

ilifikia kipindi ata nikiwa sina kitu mfukoni ananiwezesha hamna shida anayoshndwa nisaidia mda wowote nikimhitaji dakika 0 uyu apa akinikosea nika mind mtoto wa watu alikua anakosa raha mda wote ntaambiwa alikuja geto kanikosa pia mtaani lazma nitafutwe kama mwizi.

asaa kwa kujua napendwa si nikazama mazima na mimi aisee nakumbuka kosa nililowahi mzingua siku ya birthday yake nilijisahau. afu nika mposti status mwanamke mwingine(alikua mshikaji) sema alinisamehe.

pia tushawahi zinguana siku kanambia ana mimba nilivurugwa kuwaza ntaleaje io mimba kwa sababu siko vizuri kiuchumi kiufupi nilikua sijajipanga. kumbe alkua ananijarbu tu hana ata io mimba siku ananiambia tulznguana balaa kama wiki mbili ivi mawasiliano mabovu sema tukayajenga fresh

alichokuja kufanya asaa ghafla apatikani ukizingatia me nilitoka kidogo tukawa mikoa tofauti mara wiki ya kwanza hapatikani ya pili ivo ivo mara mwezi wa kwanza wa pili kuulzia ulizia nasikia kaolewa niliishiwa nguvu afu sikuamini nikaona isiwe case nikafuta namba yake sijawahi ata taka kujua anaendeleaje uko sijui kaolewa kweli au laah

ila tatzo limebaki kila mwanamke ninae muona naona wanafanana unaweza kuta nipo sehemu nimetlia akapita mwanamke naona kama ni yeye nikimzngatia sana ndo najishitukia nimemfanansha
Mkuu mwanamke anaweza kukupenda sana ila akakuvumilia akiangalia na wewe uelekeo wako kama unajituma, mda wote usikute alikuwa anakuchora tu akaona huna uelekeo akaamua kupotea nao wanachoka
 
Moja ya vitu ambavyo tunavyo baadhi ya wanaume ni kuwachukulia poa wale wanawake wanoonyesha kutupenda kupitiliza, unakuta una mwanamke anakujali mnyeyekevu anakuheshimu alafu unamchukulia poa poa tu wengine tunawanyanyasa tukijua hawana kimbilio sababu ya kuvutiwa na sisi kimapenzi hivyo tunawachukulia kimasihara

My friend siku mwanamke akikuchoka huwa anakuchoka kweli kweli na akigeuza shingo huwa ni mazima kama kashakuvumilia vya kutosha ,akichoka manyanyaso huwa anachoka kweli, ukibahatika kumpata mwanamke mnyeyekevu msikivu anayekujali yaani onyesha kumjalizaidi na kumpenda my friend hawa wanawake wastaharabu wamebaki wachache sana, ukimpata jua umepata dhahabu ndani, wengi walishasombwa na maafuriko kipindi cha mwinyi kwa sasa hawapo wengi wamenaki wachache.

Nayaongea haya sababu kaka yangu kalazwa now siku ya pili presha imepanda, alipata mwanamke mzuri mpolee aliyempenda kupitiliza akamuowa kabisa, yule dada alikuwa anaupendo wa ajabu ukweni , anapendwa ukweni hadi leo, sababu ya tabia zake tu

Ila brother akawa anamchukulia poa anamnyanyasa ,anampiga kesi zikawa zinaletwa hom mara kwa mara , binti akawa anavumilia tu mwaka na miezi sita, sasa juzi bro karudi hom kakuta mkewe kabeba vitu vyake vyote kaondoka kutafutwa kwenye sim anapokea mwanaume anasema muhusika hayupo asisumbuliwe

Kaka kupata hizo habari nusu tumpoteze tumbo la kuhara lilimbana hapo hapo majirani ndio wamemkimbiza hospitali juzi, kufika Bp juu kakata kauli kaaza kuongea jioni ya jana, kachungulia kaburi yani

Saaa kumbe mwanamke alikuwa anampenda kwanini amnyanyase?
Wao ni adim sana kuwapata na kama ukimpata hakikisha unamuweka ndani haraka sana na mambo mengine ndio yaendelee
 
Pia wanawake mkipendwa na mwanaume ambaye hana hela, msichezee hiyo nafasi maana siku akizipata hautamuona tena hapo kwako na utatamani hata ajibu text yako ila hautapata hiyo nafasi ya kujibiwa.

Kwa kifupi kufanyiwa vibaya haina jinsia.... Hutokea kote tuu mbona.
 
Andaa juisi ya ndimu tu kupunguza maumivu ya tumbo.😂😂😂 Tatizo mnawavimbiaga sana huku unajua bila yeye wewe ni kopo tupu!
😂😂😂😂 nina dogo hapa home baada ya kubembeleza saaan bby mama nikaona anielewi nikamwita dogo then kiutani tu nikamwagiza sumu ya panya ety.......!😂😂😂😂 haya mapenzicuseng***** kweli jaman. Ile karudi tu na sumu fahamu ndo zinarudi nikakumbuka nina masela wa tungi hapa kitaa nkamweleza tu dogo rudisha sumu njoo na mirinda nyeusi ya baridi baada ya kunywa hyo nikatoka out mm na wano ukawa mwendo wa vyombo tu. Saiv no love no stress na kati ya mapenzi na tungi bora nn nitakwambia bira tungi🤟
 
Moja ya vitu ambavyo tunavyo baadhi ya wanaume ni kuwachukulia poa wale wanawake wanoonyesha kutupenda kupitiliza, unakuta una mwanamke anakujali mnyeyekevu anakuheshimu alafu unamchukulia poa poa tu wengine tunawanyanyasa tukijua hawana kimbilio sababu ya kuvutiwa na sisi kimapenzi hivyo tunawachukulia kimasihara

My friend siku mwanamke akikuchoka huwa anakuchoka kweli kweli na akigeuza shingo huwa ni mazima kama kashakuvumilia vya kutosha ,akichoka manyanyaso huwa anachoka kweli, ukibahatika kumpata mwanamke mnyeyekevu msikivu anayekujali yaani onyesha kumjalizaidi na kumpenda my friend hawa wanawake wastaharabu wamebaki wachache sana, ukimpata jua umepata dhahabu ndani, wengi walishasombwa na maafuriko kipindi cha mwinyi kwa sasa hawapo wengi wamenaki wachache.

Nayaongea haya sababu kaka yangu kalazwa now siku ya pili presha imepanda, alipata mwanamke mzuri mpolee aliyempenda kupitiliza akamuowa kabisa, yule dada alikuwa anaupendo wa ajabu ukweni , anapendwa ukweni hadi leo, sababu ya tabia zake tu

Ila brother akawa anamchukulia poa anamnyanyasa ,anampiga kesi zikawa zinaletwa hom mara kwa mara , binti akawa anavumilia tu mwaka na miezi sita, sasa juzi bro karudi hom kakuta mkewe kabeba vitu vyake vyote kaondoka kutafutwa kwenye sim anapokea mwanaume anasema muhusika hayupo asisumbuliwe

Kaka kupata hizo habari nusu tumpoteze tumbo la kuhara lilimbana hapo hapo majirani ndio wamemkimbiza hospitali juzi, kufika Bp juu kakata kauli kaaza kuongea jioni ya jana, kachungulia kaburi yani

Saaa kumbe mwanamke alikuwa anampenda kwanini amnyanyase?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka sana, ushauri wako una comedy ndani
 
Hivi unafikiri huwa mtu anafanya makusudi, unajikuta tu unajisemea huyu ndege ni wangu pekee hawezi kupeperuka, ila akipeperuka lazima akili iruke si unakua umemzoea huamini kama anaweza pata kidume kingine
 
Moja ya vitu ambavyo tunavyo baadhi ya wanaume ni kuwachukulia poa wale wanawake wanoonyesha kutupenda kupitiliza, unakuta una mwanamke anakujali mnyeyekevu anakuheshimu alafu unamchukulia poa poa tu wengine tunawanyanyasa tukijua hawana kimbilio sababu ya kuvutiwa na sisi kimapenzi hivyo tunawachukulia kimasihara

My friend siku mwanamke akikuchoka huwa anakuchoka kweli kweli na akigeuza shingo huwa ni mazima kama kashakuvumilia vya kutosha ,akichoka manyanyaso huwa anachoka kweli, ukibahatika kumpata mwanamke mnyeyekevu msikivu anayekujali yaani onyesha kumjalizaidi na kumpenda my friend hawa wanawake wastaharabu wamebaki wachache sana, ukimpata jua umepata dhahabu ndani, wengi walishasombwa na maafuriko kipindi cha mwinyi kwa sasa hawapo wengi wamenaki wachache.

Nayaongea haya sababu kaka yangu kalazwa now siku ya pili presha imepanda, alipata mwanamke mzuri mpolee aliyempenda kupitiliza akamuowa kabisa, yule dada alikuwa anaupendo wa ajabu ukweni , anapendwa ukweni hadi leo, sababu ya tabia zake tu

Ila brother akawa anamchukulia poa anamnyanyasa ,anampiga kesi zikawa zinaletwa hom mara kwa mara , binti akawa anavumilia tu mwaka na miezi sita, sasa juzi bro karudi hom kakuta mkewe kabeba vitu vyake vyote kaondoka kutafutwa kwenye sim anapokea mwanaume anasema muhusika hayupo asisumbuliwe

Kaka kupata hizo habari nusu tumpoteze tumbo la kuhara lilimbana hapo hapo majirani ndio wamemkimbiza hospitali juzi, kufika Bp juu kakata kauli kaaza kuongea jioni ya jana, kachungulia kaburi yani

Saaa kumbe mwanamke alikuwa anampenda kwanini amnyanyase?
Kwahiyo brother sahivi yupo ICU
 
Yaani hii ni kweli tupu
 
dunia ina zaidi ya watu billion 7 na zaidi ya nusu ni wanawake, mwanamke mmoja tu anatoa roho ya MTU. Bro wako ana matatizo ya afya ya akili si bure!
Hayajakukuta bro
 
Huyo mwanamke atarudi niamini mm. Nawala hajamsaliti amemchezea mchezo tuu. Sisi ndo wazoefu wa hizi kazi za kupendwa kupitiliza
Nami nahisi ni mchezo kamchezea tu. Manake alifunga ndoa gani hiyo ya kutoka na kudakwa na mwingine fasta, si atashikwa ugoni huyo mwanaume mwingine sasa
 
Back
Top Bottom