Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Na hiyo huwa ni mazimaa haina kurudi nyumaUlijona shababi eh! Wanawake ni viumbe delicate ukimnyanyasa akikaa akapiga akili kuwa hayupo sehem sahihi anakuhama tu na hapo amna rangi utaacha kuziona[emoji23]
Kibao kimegeuka hahahhahaNishakuwa mtumwa kwake...wakati alinipenda mwenyewe....
Hahahahaha na ndo ushachelewaKinachoniumiza wakati ananipenda...mi sikuwa na hisia nae,,,wakati ame give up...ndo najigundua kumbe nampenda...dah
Hata kama hana heshima kumtesa siyo busara.Ndio akome huyo, na wanaume wanaopenda kutesa wanawake Wanaowaheshimu sijui shida huwa nini, maana wanawake wenye tabia njema ndio huteseka kwenye ndoa kuliko mashangingi.
Mwanamke anaekupenda akibadilika unaachana nae unatafuta mwingine anaekupenda. usikubali mtu mwingine akufanye uishi maisha ya tabu.Hy n sawa, lkn vp kama yeye anakupenda lkn ww humpendi.?
Malezi. Watoto wangu hasa wa kiume nitawalea kikamanda hatariivi unawezaje kuanguka presha kisa mwanamke?????wanaume tunatofautiana sana
Hahahahaaaa. Hivi pesa zinareplace kila kitu mkuu?tafuta pesa wewe acha perepeche za mapenzi hapa ..vijana wa siku hizi shida sana
Hapo ndo atanenepa sana.Get well brother, ukipona uoe mwanamke pasua kichwa akukondesheee ubaki kichwa tu
Hapo mshika ugoni ndo atakuwa zuzuNami nahisi ni mchezo kamchezea tu. Manake alifunga ndoa gani hiyo ya kutoka na kudakwa na mwingine fasta, si atashikwa ugoni huyo mwanaume mwingine sasa
Uko sahihi mkuuHata kama hana heshima kumtesa siyo busara.
Move onHuwezi amini sasa ivi
Uwezi amini sasa ivi nampigia magoti mimi,,,,kwa nyodo nayeye analingia
Kashakutoa moyoni huyo na hata unavomfata una mtia kichefu chefuHuwezi amini sasa ivi
Uwezi amini sasa ivi nampigia magoti mimi,,,,kwa nyodo nayeye analingia
Ndio tabia za wanaume wengi hao naona wanaume mnapendaga wanawake wasumbufu na pasua kichwa na kipindi mnacho ignore kinaumiza hisia Sasa mwanamke hasemi siku aki move on utajua hujui wallahKinachoniumiza wakati ananipenda...mi sikuwa na hisia nae,,,wakati ame give up...ndo najigundua kumbe nampenda...dah
Imagine baba ako anawaza kukutesa... jinsia yetu ya kiume itafika mbinguni hoi bin taabaniMalezi. Watoto wangu hasa wa kiume nitawalea kikamanda hatari
Kashakutoa moyoni huyo na hata unavomfata una mtia kichefu chefu
kibao kimenigeukia vibaya....mpaka nawaza kwanini alipenda,,,maana ameniachia maumivu mimiKibao kimegeuka hahahhaha
Poleeee,ila na imani umejifunza.kibao kimenigeukia vibaya....mpaka nawaza kwanini alipenda,,,maana ameniachia maumivu mimi
Jeshini wanatesa?Imagine baba ako anawaza kukutesa... jinsia yetu ya kiume itafika mbinguni hoi bin taabani
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]NakaziaUlijona shababi eh! Wanawake ni viumbe delicate ukimnyanyasa akikaa akapiga akili kuwa hayupo sehem sahihi anakuhama tu na hapo amna rangi utaacha kuziona[emoji23]