Ukimsaidia Mbongo jambo au fedha, kila tatizo atataka umsaidie tena. Hii ni ishara ya Low IQ

Bro bora wewe ndio umejua. Na ndio maana matajiri wanasemekana wana roho mbaya.
 
Ivi watu maneno kama Sina hapana sitoweza Kwa Sasa ni magumu sana??? Akiiiiii hata kumkopesha mtu kwangu ni mtihan ila wanaume mnaroho ya huruma sana mie siwez acha niitwe ninaroho mbaya sijui mchoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…