Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sana tu🥳Umetisha sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu🥳Umetisha sana mkuu.
Wizo mvua zimeanza ushabadili jinsia 😹
Exactly na mjini ndio ipo hivyo.Ni ajabu sana mkuu kwa maana katika hali ya kawaida, yule aliyetafutiwa ndiye aliyepaswa kumpa 10% aliyemtafutia kama shukrani..
UPUMBAVU ni wewe mwenye pesa, kuwasaidia,....Zaidi ni pale ndugu ambao maisha yao ni magumu wanazaa watoto wengi wakitegemea ndugu zao wenye pesa watawasomeshea au kuwaletea chakula. Wao wanakuwa hawana mpngo na wao. Hii kitu kwa familia inaumiza sana.
Sawa bwana lakini utawaacha wafe au wateseke.UPUMBAVU ni wewe mwenye pesa, kuwasaidia,....
Waambie ndugu zangu wazae kama panya, alafu wategemee msaada kutoka kwangu,..utasikia majibu yao kunihusu....Sawa bwana lakini utawaacha wafe au wateseke.
Mafundi wajanja ni wale wanaoomba uwaunganishie kazi kwa jamaa zako ili waendelee kuishiMm binafsi kuna Mafundi 2, niliwapa kazi ya finishing kwangu, mmoja Rangi, mwingine kitchen cabinets. Tukalipana vzuri tu. Tukaachana kwa wema. Ila sasa, kila mara, hawa mafundi hawaishi kunipiga mizinga. Eti ooh! Boss leo nalala na njaa, okoa jahazi. Mara naumwa, sijaweza kwenda kazini mwezi sasa. Wameshanipiga vibomu hadi sahivi, hata simu zao spokei kabisa. Na usipopokea simu, unakutana na miscall 6 hadi 10 kama vile baba mwenye nyumba anakudai kodi yake ya miezi kadhaa uliyorundika bila kulipa.
Mi nadhani, mixing haikatazwi, lakini isizidi mara 2. Ikizidi hapo unakuwa kero.
Wizo naona unataka kuanza kuitikisa mbunye yangu!!Wizo mvua zimeanza ushabadili jinsia 😹
Kwahiyo uliwahi kumuweka kimada single maza? 😹😹
Kabisa maana wengi kipato kikiongezeka na matumz juu.Watanzania wengi hawana elimu ya pesa akiongeza kipato kidogo anaongeza na matumizi mwisho shida zinabaki pale pale
Ni ngumu sana kumsaidia mtu ambaye hana elimu ya pesa
Sema ungekaa kimya tu yupo uku uku JF anaona post 😁😁Hi!
Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu.
Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi.
Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi akiwa apecha alolo. Mshahara pamoja na posho around 700k-900k.
Sasa amelijua jiji anaona pesa ndogo anataka kazi kwenye kampuni zingine, Cha ajabu anataka tena Mimi nimsumbukie kumtafutie tena kazi huko ili aaache pa sasa.
Mifano iko mingi sana.
Ukimsaidia tu mbongo huyo atakuwa mgeni wako na kama mwanamke atataka muwe wapenzi ili akuvune zaidi.
Fact!!Wema kiasi. Roho mbaya kiasi. Hiyo ndio balanced life..
Ni taabu sana kuishi na watu wa hivyo.Kwakwel n kipengele... Kuna ndugu tena wa kike mdada mtu mzma mpka akanipa namba ya mwenye nyumba wake vile anavyosumbuliwa kodi nkaongea na faza house tukalsort nkamtumia kod ya miez 4 Toka apo sasa kila wikend anapga simu anataka 15000 akalewe aweke kichwa sawa mara na stress sana kaka angu leo sjui nakula nn Wabongo ss tabu tupu n bora wote kulia noki tu ukiombwa msaada na ww lia shida apo wote mtaish kwa aman
Siyo wote acha ukumbaff hata Mheshimiwa mbeba maono Samia?!!!!Hi!
Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu.
Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi.
Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi akiwa apecha alolo. Mshahara pamoja na posho around 700k-900k.
Sasa amelijua jiji anaona pesa ndogo anataka kazi kwenye kampuni zingine, Cha ajabu anataka tena Mimi nimsumbukie kumtafutie tena kazi huko ili aaache pa sasa.
Mifano iko mingi sana.
Ukimsaidia tu mbongo huyo atakuwa mgeni wako na kama mwanamke atataka muwe wapenzi ili akuvune zaidi.
😂uta kuta mteja wa namba hii, ana ongea na namba nyingine 🤣
kwani uongo😂