KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ukimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!.
Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa n.k
Swala la kuvisifia hivi viumbe lifanyike kwa akili msifie huku..... Akili za hivi viumbe sio za sayari hii!.
Kumsifia mwanamke kuna effect kubwa kwenye ubongo wake sasa anaglia wewe msifiaji isijekuwa unajiundia mlima utakaoshindwa kuupanda!.
NB; Najua kuna vilamba mwiko watakuja kupinga na kubisha lakini maneno ya nabihi kenzy hayapiti patupu lazima Kuna maembe ng'ong'o yatakuja kushuhudia.