mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Bwana we inategemeana. Mwanamke ukitaka kumsifia we msifie tu. Akibadilika kabadilika tu wala sio kwa sifa zako. Unahisi hawa wanawake wote walotulia na wenza wao hawajasifiwa? Si kweli we mpe sifa akibalauka ameamua tu. So usiogope kutoa sifa zako pale inapobidi.