Nakazia ๐Tuwapumzisha akina mama tumewazonga sana
Hata ukimsifia bila kumpa pesa anaona hauko seriasi.Ukimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!.
Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa n.k
Swala la kuvisifia hivi viumbe lifanyike kwa akili msifie huku..... Akili za hivi viumbe sio za sayari hii!.
Kumsifia mwanamke kuna effect kubwa kwenye ubongo wake sasa anaglia wewe msifiaji isijekuwa unajiundia mlima utakaoshindwa kuupanda!.
NB; Najua kuna vilamba mwiko watakuja kupinga na kubisha lakini maneno ya nabihi kenzy hayapiti patupu lazima Kuna maembe ng'ong'o yatakuja kushuhudia.
๐ ๐ ๐ Unanichonganisha nipigwe maweHakuna hata anaekaribia mkuu..๐
Ahsante kuliona hili.Tuwapumzisha akina mama tumewazonga sana
๐คฃ Mimi ukinisifia ndio nazidi kukuganda. Upo tayari??
We komamanga unamsakizia mwenzako ๐Wewe taja mkuu hakuna wa kukumeza humu..๐
Mkorofi huyo๐ธWe komamanga unamsakizia mwenzako ๐
๐๐ Namuona tuMkorofi huyo๐ธ
Tangu unusirike kwa bwawa la kuogolea nahisi unaishibkwa jofu sana๐ ๐คฃUkimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!.
Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa n.k
Swala la kuvisifia hivi viumbe lifanyike kwa akili msifie huku..... Akili za hivi viumbe sio za sayari hii!.
Kumsifia mwanamke kuna effect kubwa kwenye ubongo wake sasa anaglia wewe msifiaji isijekuwa unajiundia mlima utakaoshindwa kuupanda!.
NB; Najua kuna vilamba mwiko watakuja kupinga na kubisha lakini maneno ya nabihi kenzy hayapiti patupu lazima Kuna maembe ng'ong'o yatakuja kushuhudia.
Kenzy kwenye moja na mbiliUkimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!.