Ukimsifia sana unakaribia kumkosa!

Bwana we inategemeana. Mwanamke ukitaka kumsifia we msifie tu. Akibadilika kabadilika tu wala sio kwa sifa zako. Unahisi hawa wanawake wote walotulia na wenza wao hawajasifiwa? Si kweli we mpe sifa akibalauka ameamua tu. So usiogope kutoa sifa zako pale inapobidi.
 
Vuta huyo akuzalie watoto ,awalee kimaadili na kistandard- Mwanaume kuwa na feelings kwa mke ni kujitafutia matatizo sana..... Nimekushauri from the experience.
Tatizo ana sura personal yan akitabasamu kama analia. Sasa nawaza yan mi mwenyewe nina sura mbuz afu nkizaa nae si tutapata mtoto mwenye sura ya kunyamazishia watoto!
 
Kuna aina 8 za wanawake mkuu kwa baadhi ya tafiti zilizofanywa tayari kila mwanamke anavitu vyake anavyostahili kupewa ila wanawake wengi wasiopenda kusifiwa ni wale ambao miili yao ishatumiwa na wengi ndani ya mioyo yao washawai jeruiwa vikali na walikamatwa kwa njia hizo hizo kwaiyo kadri unavyomsifia ndio unaralua vidonda vinavyokalibia kupona ndio maana wanakukimbia
 
Sio wote wanavichwa sawa
 
Msifie mkeo uliemuweka ndani tayari sioo wanawake wa kuzugia au unadate nae tuu yani atakunyooshaaa
 
Usiombe uwe unatongozwa na mwanamke dah! ukimtolea nje mnakuwa maadui, Dear ledies mbona sisi tukitolewa nje tunavunga na maisha yanaendelea bila kinyongo? Huyu ni watano sasa kanitumia vibaka.
Niliishawahi kuleta thread kuhusu hii kitu...
 
Kisifia huambatana na ulaghai. Hata anayesifiwa hujua anadanganywa. Wanaosifia hawamaanishi.

Yaani ni kamchezo fulani hivi kakipuuzi. Binafsi. Sikapendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…