Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Marehemu Baba yangu mzazi alinipita umri wa miaka 28, Kuna vitu nilivyokua nikifanya na nikajiona mjanja tu, kuna muda ananingalia tu. Nishwahi kumkwaza, na akawaeleza watu kwamba dogo anazingua sana huyu. Wengi walinihusia, mzee wako analalamika tulia. Mzee alikua anajua, mwanzo wangu hadi mwisho wangu. Yaani hamna jipya nilikua nafanya kwake. Kuna neno linasema NISHAPITA KOTE HUKO.
Hivi ndivyo afanyavyo lissu, na Family Mouth should shut as political parties mouth.
Hata ukiweza kumproof baba wrong, ukiweza kufanya vyvyte kumtoa mbowe kwenye kiti bado heshima yake isitupwe.
Na yawezekana yakatokea mambo ambayo watu hawataamini. Yawezekana idadi kubwa ya watu mtandaoni wanaomdhihaki mbowe watashangaa mbowe akishinda.
 
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Hujaelewa nini wewe..

Wanahaharakati ni kama kina Julius K. Nyerere, Nelson Mandela, Nkwame Nkuruma, Martin Luther Jr nk...

Wanasiasa ni watu waongo, weziwezi, wala rushwa na matapeli kwa kuitumia hiyo siasa inayowapa jina la "Wana - Siasa..."

Ndio hawa kina Freeman Mbowe, kina Samia Suluhu Hassan, Zitto Zubeir Kabwe...

Wanasiasa huingia kwenye eneo ambalo mwanaharakati ameshalifanyia kazi...
 
Marehemu Baba yangu mzazi alinipita umri wa miaka 28, Kuna vitu nilivyokua nikifanya na nikajiona mjanja tu, kuna muda ananingalia tu. Nishwahi kumkwaza, na akawaeleza watu kwamba dogo anazingua sana huyu. Wengi walinihusia, mzee wako analalamika tulia. Mzee alikua anajua, mwanzo wangu hadi mwisho wangu. Yaani hamna jipya nilikua nafanya kwake. Kuna neno linasema NISHAPITA KOTE HUKO.
Hivi ndivyo afanyavyo lissu, na Family Mouth should shut as political parties mouth.
Hata ukiweza kumproof baba wrong, ukiweza kufanya vyvyte kumtoa mbowe kwenye kiti bado heshima yake isitupwe.
Na yawezekana yakatokea mambo ambayo watu hawataamini. Yawezekana idadi kubwa ya watu mtandaoni wanaomdhihaki mbowe watashangaa mbowe akishinda.
Mfano wako is completely irrelevant na mambo ya siasa..

Tundu Lissu sio mtoto wa Freeman Mbowe kama wewe ulivyokuwa mtoto wa baba yako uliyekuwa unamzingua...

Freeman Mbowe ni mwanasiasa mjanja janja na anayetumia siasa kuiba na kuwapiga wenzake...

Wewe na yeye hamjui kitu kinaitwa "muda ni ukuta..."
 
Marehemu Baba yangu mzazi alinipita umri wa miaka 28, Kuna vitu nilivyokua nikifanya na nikajiona mjanja tu, kuna muda ananingalia tu. Nishwahi kumkwaza, na akawaeleza watu kwamba dogo anazingua sana huyu. Wengi walinihusia, mzee wako analalamika tulia. Mzee alikua anajua, mwanzo wangu hadi mwisho wangu. Yaani hamna jipya nilikua nafanya kwake. Kuna neno linasema NISHAPITA KOTE HUKO.
Hivi ndivyo afanyavyo lissu, na Family Mouth should shut as political parties mouth.
Hata ukiweza kumproof baba wrong, ukiweza kufanya vyvyte kumtoa mbowe kwenye kiti bado heshima yake isitupwe.
Na yawezekana yakatokea mambo ambayo watu hawataamini. Yawezekana idadi kubwa ya watu mtandaoni wanaomdhihaki mbowe watashangaa mbowe akishinda.
Kwa hiyo Lissu baba yake ni mbowe?
 
Lissu bado ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Jabari, bado sana.
 
Ila nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.

Hili limenifikirisha sana
Hicho kipindi cha Mbowe kimeilipa clouds zaidi kuliko michezo.
 
We tuambie kajibu suali gani kifasaha? Acha kumpigia debe tu bila ushahidi kauliza suali kwamba uongozi ulitowa mianya mpaka siri za chama zikavuja alijibu je?
Sio kila swali lazima lijibiwe unavyotaka wewe.Sio kila kitu nichaongea ovyo kwenye vyombo ya habari wakati uko vitani.Tumia akili.
 
Ni aibu kubwa sana kwake ku-dialogue na Lissu. Wewe utakubali kufanya mdahalo na mtoto wa chekechea, eti mnajadili kuhusu uchumi wa nchi wewe wewe ni proponent na mtoto ni opponent, kweli, si aibu tupu?!
Huyu Sultan wenu ni mtupu kabisa ameshindwa kujibu maswali anajiliza liza ahurumiwe. Kumlinganisha Lissu na Mbowe ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjaro Mbowe akiwa ndiye kichuguu,wewe unazungumzia mahaba ya kimachame tu.
 
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Huu siyo mwaka wa kuamini mtu ambaye hajawahipiia chuo. Kipaji apeleke kwenye mziki na biashara zake. Ni mtu asiyejitambua mipaka ya akili yake.

Yaani eti ukomo ni watu kumukataa! Akili gani hiyo? Munaoshabikia eti kafanya makubwa, yanazidi ya Mandela?
 
Back
Top Bottom