Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Kiukweli zama za Mbowe zinatamatika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mle hela za watu alafu muitane wanasiasa mlioiva...ila wewe bwashee bwege sanaFreeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Hujaelewa nini wewe..Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Mfano wako is completely irrelevant na mambo ya siasa..Marehemu Baba yangu mzazi alinipita umri wa miaka 28, Kuna vitu nilivyokua nikifanya na nikajiona mjanja tu, kuna muda ananingalia tu. Nishwahi kumkwaza, na akawaeleza watu kwamba dogo anazingua sana huyu. Wengi walinihusia, mzee wako analalamika tulia. Mzee alikua anajua, mwanzo wangu hadi mwisho wangu. Yaani hamna jipya nilikua nafanya kwake. Kuna neno linasema NISHAPITA KOTE HUKO.
Hivi ndivyo afanyavyo lissu, na Family Mouth should shut as political parties mouth.
Hata ukiweza kumproof baba wrong, ukiweza kufanya vyvyte kumtoa mbowe kwenye kiti bado heshima yake isitupwe.
Na yawezekana yakatokea mambo ambayo watu hawataamini. Yawezekana idadi kubwa ya watu mtandaoni wanaomdhihaki mbowe watashangaa mbowe akishinda.
Kwa hiyo Lissu baba yake ni mbowe?Marehemu Baba yangu mzazi alinipita umri wa miaka 28, Kuna vitu nilivyokua nikifanya na nikajiona mjanja tu, kuna muda ananingalia tu. Nishwahi kumkwaza, na akawaeleza watu kwamba dogo anazingua sana huyu. Wengi walinihusia, mzee wako analalamika tulia. Mzee alikua anajua, mwanzo wangu hadi mwisho wangu. Yaani hamna jipya nilikua nafanya kwake. Kuna neno linasema NISHAPITA KOTE HUKO.
Hivi ndivyo afanyavyo lissu, na Family Mouth should shut as political parties mouth.
Hata ukiweza kumproof baba wrong, ukiweza kufanya vyvyte kumtoa mbowe kwenye kiti bado heshima yake isitupwe.
Na yawezekana yakatokea mambo ambayo watu hawataamini. Yawezekana idadi kubwa ya watu mtandaoni wanaomdhihaki mbowe watashangaa mbowe akishinda.
Alishaachana na mpaka kieleweke na operation sangara!!!??haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa.
Mwamba leo kasema ana sera gani?Lissu bado ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Jabari, bado sana.
Ni kweli ila tatizo la Mbowe ni kuwa CCM washamfanya kuwa mwezao. Hawezi tena kuongoza mapambano ya kuiondoa CCM.Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Hana cha kujifunza kwa MBOWE zaidi naona kwa sasa muda haupo upande wakeLissu bado ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Jabari, bado sana.
Gaidi alienda kufanya maongezi na rais ikulu.Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Hicho kipindi cha Mbowe kimeilipa clouds zaidi kuliko michezo.Ila nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.
Hili limenifikirisha sana
Sio kila swali lazima lijibiwe unavyotaka wewe.Sio kila kitu nichaongea ovyo kwenye vyombo ya habari wakati uko vitani.Tumia akili.We tuambie kajibu suali gani kifasaha? Acha kumpigia debe tu bila ushahidi kauliza suali kwamba uongozi ulitowa mianya mpaka siri za chama zikavuja alijibu je?
Huyu Sultan wenu ni mtupu kabisa ameshindwa kujibu maswali anajiliza liza ahurumiwe. Kumlinganisha Lissu na Mbowe ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjaro Mbowe akiwa ndiye kichuguu,wewe unazungumzia mahaba ya kimachame tu.Ni aibu kubwa sana kwake ku-dialogue na Lissu. Wewe utakubali kufanya mdahalo na mtoto wa chekechea, eti mnajadili kuhusu uchumi wa nchi wewe wewe ni proponent na mtoto ni opponent, kweli, si aibu tupu?!
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Huu siyo mwaka wa kuamini mtu ambaye hajawahipiia chuo. Kipaji apeleke kwenye mziki na biashara zake. Ni mtu asiyejitambua mipaka ya akili yake.Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4