gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
mdahalo ndo kuongoza chama?.mnaleta hoja zakitoto tu.Mwambieni aje kwenye mdahalo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdahalo ndo kuongoza chama?.mnaleta hoja zakitoto tu.Mwambieni aje kwenye mdahalo.
sawa ametumika kwa zamu yake inatosha kwa sasa tunataka ladha mpya iliyopo ndani ya mbeba maono LisuFreeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
sera wataambiwa wajumbe.ukiwa mpiga kura utaambiwa.Sera zake ni zipi?
Wewe kama mwananchi umefanya sehemu gani?.Kama wananchi hawajafika kiasi chakuichukia ccm kiasi hicho ata aje mwenyekiti malaika bado ccm haiwezi kutolewa madarakani kwakutumia majukwaa ya siasa au harakati au kura.Wewe umejificha alafu unasubiri mbowe akupambanie.Tunachosema Mbowe anavutwa shati na CCM kwa vyovyote vile hawezi kupigania mabadiliko ya kweli kwa wananchi kwa sasa. Kama kiongozi mkuu wa chama tangu madudu haya uchaguzi yameanza 2019 sijaona uwezo wake wa kututoa katika mtanzuko huu! Akipita kwenye huu uchaguzi tujue uchaguzi mkuu wa mwaka huu mambo yatakuwa ni yale yale. "No reform no election" Je ana mbinu gani mpya ya kufanya kwa sasa ili tutoboe?
Hata alipokuwa gerezani kama alikuwa na nia ya kweli ya kutupigania nchi nzima tungeamaka kuandamana na angeachiwa kwa nguvu ya "Peoples Power"
kwa hali tuliyofikia ni bora tupate mbadala wake tuona naye atatutoa au vipi.
Kwani babako ni muoga wa BOX la kura?, sasa nani akimwambia achujue form - mwambie apambane si ana wanachama lukuki wapo na yeye.Kama kweli hakuna mkubwa kuliko CHADEMA mwambieni aachie madaraka
Ukisikiliza press za hawa wawili unaona kabisa namna maji yanajitenga na mafuta sheikh.Hana cha kujifunza kwa MBOWE zaidi naona kwa sasa muda haupo upande wake
Wacha trh 21 wajumbe wa mkutano mkuu wakampumzishe kwa lazima
Lengo ni kuondoa CCM ama lengo ni kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo ya kweli kiteknolojia, kiuchumi na kijamii ? Naulizia hivi kwa sababu, kama Lengo Kuu ni kuondoa CCM badala ya kuondoa kero na changamoto za wananchi basi hivyo vyama vingine havitufai!!!....kuongoza mapambano ya kuiondoa CCM
Wengi tumesikiliza mahojiano. Ebu twambie swali lililomshinda kujibu.Kwa kushindwa kujibu masuali anaelezea tu historia ya chama zaidi na kutafuta huruma kwa wa Tanzania
Wala sio nguvu, sema pesa. Hata wewe unaweza fanya, unapigiwa tu gharama ya kipindi unalipa, ile ni biashara mzee sio kipindi kama kipindi in the first placeIla nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.
Hili limenifikirisha sana
Sasa hivi mmegeuka mmekua kama CCM kukimbia midahalo. Tulizoea kuyaona kwa ma CCM kukimbia midahalo sasa yamehamia kwenu wafuasi wa Sultan.mdahalo ndo kuongoza chama?.mnaleta hoja zakitoto tu.
Mbowe historian yake nzuri anavuruga na kuiharibu mwenyewe, alipaswa kusoma alama za nyakati, pamoja na maneno yote amefika mwisho...Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Ile ni propaganda, mbowe anakitumia chadema kupitia nafasi ya mwenyekiti kwa ajili ya biashara zake.Kama kweli hakuna mkubwa kuliko CHADEMA mwambieni aachie madaraka
Mbowe kwa lissu, unamjua lissu wewe?😂😂Ni aibu kubwa sana kwake ku-dialogue na Lissu. Wewe utakubali kufanya mdahalo na mtoto wa chekechea, eti mnajadili kuhusu uchumi wa nchi wewe wewe ni proponent na mtoto ni opponent, kweli, si aibu tupu?!
Kumlalamikia lissu kisa kachukua fomu ya kugombea uwenyekiti😂😂Sera zake ni zipi?
Haahaa Leo baadhi ya wanachadema Wana ogopa mdahalo kisa mbowe atapigwa nock out😂😂mdahalo ndo kuongoza chama?.mnaleta hoja zakitoto tu.
Ndio kwanza Mbowe kakomaa kisiasa haiwezekani kamwe eti aachie kiti, ni kosa kubwa!
Lissu hada mriririko wa maongezi wala composure, hana diplomacy na weledi wa kisiasa. Akiwa rais leo ni kama Magufuli tu.Lissu akili kubwa sana, Mbowe hawezi hata siku moja kukubali mdahalo na Lissu