Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Tunachosema Mbowe anavutwa shati na CCM kwa vyovyote vile hawezi kupigania mabadiliko ya kweli kwa wananchi kwa sasa. Kama kiongozi mkuu wa chama tangu madudu haya ya uchaguzi yameanza 2019 sijaona uwezo wake wa kututoa katika mtanzuko huu! Akipita kwenye huu uchaguzi tujue uchaguzi mkuu wa mwaka huu mambo yatakuwa ni yale yale. "No reform no election" Je ana mbinu gani mpya ya kufanya kwa sasa ili tutoboe kupitia hii statement?
Hata alipokuwa gerezani kama alikuwa na nia ya kweli ya kutupigania nchi nzima tungeamka kuandamana na angeachiwa kwa nguvu ya "Peoples Power"
kwa hali tuliyofikia ni bora tupate mbadala wake tuone naye atatutoa au vipi.
 
Tunachosema Mbowe anavutwa shati na CCM kwa vyovyote vile hawezi kupigania mabadiliko ya kweli kwa wananchi kwa sasa. Kama kiongozi mkuu wa chama tangu madudu haya uchaguzi yameanza 2019 sijaona uwezo wake wa kututoa katika mtanzuko huu! Akipita kwenye huu uchaguzi tujue uchaguzi mkuu wa mwaka huu mambo yatakuwa ni yale yale. "No reform no election" Je ana mbinu gani mpya ya kufanya kwa sasa ili tutoboe?
Hata alipokuwa gerezani kama alikuwa na nia ya kweli ya kutupigania nchi nzima tungeamaka kuandamana na angeachiwa kwa nguvu ya "Peoples Power"
kwa hali tuliyofikia ni bora tupate mbadala wake tuona naye atatutoa au vipi.
Wewe kama mwananchi umefanya sehemu gani?.Kama wananchi hawajafika kiasi chakuichukia ccm kiasi hicho ata aje mwenyekiti malaika bado ccm haiwezi kutolewa madarakani kwakutumia majukwaa ya siasa au harakati au kura.Wewe umejificha alafu unasubiri mbowe akupambanie.
 
Kama kweli hakuna mkubwa kuliko CHADEMA mwambieni aachie madaraka
Kwani babako ni muoga wa BOX la kura?, sasa nani akimwambia achujue form - mwambie apambane si ana wanachama lukuki wapo na yeye.

Na tushasema na tumekubaliana kabisa kwamba ANAYEPIGWA hakuna kukimbia chama.
 
Hana cha kujifunza kwa MBOWE zaidi naona kwa sasa muda haupo upande wake

Wacha trh 21 wajumbe wa mkutano mkuu wakampumzishe kwa lazima
Ukisikiliza press za hawa wawili unaona kabisa namna maji yanajitenga na mafuta sheikh.
 
....kuongoza mapambano ya kuiondoa CCM
Lengo ni kuondoa CCM ama lengo ni kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo ya kweli kiteknolojia, kiuchumi na kijamii ? Naulizia hivi kwa sababu, kama Lengo Kuu ni kuondoa CCM badala ya kuondoa kero na changamoto za wananchi basi hivyo vyama vingine havitufai!!!
 
Ila nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.

Hili limenifikirisha sana
Wala sio nguvu, sema pesa. Hata wewe unaweza fanya, unapigiwa tu gharama ya kipindi unalipa, ile ni biashara mzee sio kipindi kama kipindi in the first place
 
mdahalo ndo kuongoza chama?.mnaleta hoja zakitoto tu.
Sasa hivi mmegeuka mmekua kama CCM kukimbia midahalo. Tulizoea kuyaona kwa ma CCM kukimbia midahalo sasa yamehamia kwenu wafuasi wa Sultan.
 
Ni aibu kubwa sana kwake ku-dialogue na Lissu. Wewe utakubali kufanya mdahalo na mtoto wa chekechea, eti mnajadili kuhusu uchumi wa nchi wewe wewe ni proponent na mtoto ni opponent, kweli, si aibu tupu?!
Mbowe kwa lissu, unamjua lissu wewe?😂😂
 
Lissu akili kubwa sana, Mbowe hawezi hata siku moja kukubali mdahalo na Lissu
Lissu hada mriririko wa maongezi wala composure, hana diplomacy na weledi wa kisiasa. Akiwa rais leo ni kama Magufuli tu.
 
Back
Top Bottom