Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Vyombo vya Ulinzi vinafanya kazi zao vizuri sana, sema japo Wahuni wachache ambao ndio viongozi wao wakuu wanawasiliti wenzak kwa kula na fisadi angalia maisha ya IGP, CDF na DGIS ndio utajua wahuni wana nguvu kiasi gani?
Paka mda huu wote waliotajwa na pole pole walitakiwa wawe chini ya mahojiano na uangalizi
 
Vyombo vya usalama vijitazame wao ndio wazalendo namba moja wa kutuonyesha mfano wengine..!!

Hii imeniuma sana, ukifatilia siasa maumivu ni mazito mno kuona nchi inaliwa km haina mwenyewe 😭
😆😆😆
 
Huyu Bwana angetakiwa kuwa ndo Mkuu wa kile kitengo cha TISS kabisa,

Yuko na uelewa wa kutosha wa kila mienendao ya kila alieko FISIEM na anaonekana anauelwa mkubwa kuliko hata wale ambao ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
 
Haviko huru. Katika hali ya kawaida kuna tuhuma nyingi sana kama wangekuwa waadilifu wangechumhuza. Actually huenda hawajui hata majukumu yao maana hata raia ukienda kushitaki wanaulizia hela tu za kuwawezesha. vituo vya polisi ni kama daladala.
 
Kazi yao ni kumtumikia bwana Rostam Aziz na GSM
 
Huyu Bwana angetakiwa kuwa ndo Mkuu wa kile kitengo cha TISS kabisa,

Yuko na uelewa wa kutosha wa kila mienendao ya kila alieko FISIEM na anaonekana anauelwa mkubwa kuliko hata wale ambao ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Yuko vizuri sana. Nafikiri kufanya na Magu pia ilimwongezea maarifa zaidi. Ila ni mtu anayependa kujifunza pia.
 
TZ hakuna vyombo vya ulinzi na usalama ni genge la wahuni wa CCM tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…