Kabisa, though ana mapungufu yake ila akifanya na watu walionyooka kama Lissu, kwa kweli haki itatawala na kila mtu ataipenda serikaliYuko vizuri sana. Nafikiri kufanya na Magu pia ilimwongezea maarifa zaidi. Ila ni mtu anayependa kujifunza pia.
Shida sio hivyo vyombo.JWTZ NA VYOMBO VYOTE VYA ULINZI VINATAKIWA KUVYUNJWA NA KUUNDWA UPYA NA AZIMIO LA ARUSHA LIRUDI KWA WOTE WENYE UTAJIRI WA ZAIDI YA DOLA MIL4 WAFIRISIWE
Hahaha nani asependa hela unaungana nao tu dadeki pesa tamu nyiekuna mtu aliambiwa "hapa sisi huwa tunapiga, kama huwez kupiga rudi ulikotoka" baada ya kuhamia idara nyingine.
Wao wanajali?Wataua wangapi
Waliopo ikulu, bungeni, vyombo vya usalama, ndio mafia na majizi, wenyewe,Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Chukua hatua kali, kupata maumivu mazito pasipo kufanya jambo zito kubadili upepo si sahihi.Vyombo vya usalama vijitazame wao ndio wazalendo namba moja wa kutuonyesha mfano wengine..!!
Hii imeniuma sana, ukifatilia siasa maumivu ni mazito mno kuona nchi inaliwa km haina mwenyewe 😭
Mkuu wa kamati ya ulinzi akiwa ana mkingia kifua lostaam AzizYaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Hayo ni matokeo ya watu wasiofaa kukalia viti ...hivyo mojawapo la kufanya ni kuvunjwa kwa hivyo vyomboShida sio hivyo vyombo.
Tunaona vimestack ni matokeo ya mfumo mbovu uliopo,hata sheria au katiba imepoteza kabisa makali yake ipo kama picha tu.
Mpaka mtu aliyeamua kuilinda katiba(cdf mstaafu) leo anakuja kuonekana hamnazo kwa sababu tu aliyempigania ni kyande.
Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa 😁Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Hapo maana yake unawashauri waache kazi au?Mafia state,if people can conspire and get rid of a sitting president.Who is safe?Wakuu tunajua mnapita humu jitafakarini.Je nyie mko salama kiasi gani?mahakimu,majaji nnaopigiwa simu moja tu mko salama kiasi gani?
Unapiga halafu wanakutuma kazi ambayo inanyakua heshima ya utu au uhai wako kama mwewe!Hahaha nani asependa hela unaungana nao tu dadeki pesa tamu nyie
Vyombo vya usalama niko busy na wapinzani na hasa Chadema. Juko kwingine hakuwahusuYaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Huoni hata haya kutueleza kuwa unamsikiliza huyo kipapai? Hata mwendawazimu hawezi kumsikiliza. We akili yako imedumaa, mwenye akili kdg tu angejua kuwa huyo mbwa koko hana access na taarifa yyte ya serikali achilia mbali taarifa nyeti. Mpiga debe wa CCM apate wapi taarifa nyeti? Aibu yako! Ht yeye mwenyewe ameshakudharau maana anajua ukweli anachokirusha ni uzushi na uwongo alioutengeneza yeye mwenyewe, subirini siku awatukane watu km wewe live.Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
embu kanusha taarifa za pole pole kwa hoja,2025 hii watu wameelimika,huwezi kuja mbele za watu unaanza tu kuponda wanaotoa taarifa,utawekwa kundi la wanufaika kumbe ni akili tu umekosa hata abdul hakujui.H
Huoni hata haya kutueleza kuwa unamsikiliza huyo kipapai? Hata mwendawazimu hawezi kumsikiliza. We akili yako imedumaa, mwenye akili kdg tu angejua kuwa huyo mbwa koko hana access na taarifa yyte ya serikali achilia mbali taarifa nyeti. Mpiga debe wa CCM apate wapi taarifa nyeti? Aibu yako! Ht yeye mwenyewe ameshakudharau maana anajua ukweli anachokirusha ni uzushi na uwongo alioutengeneza yeye mwenyewe, subirini siku awatukane watu km wewe live.
Kama Rais alimuita wakaongea kwa masaa matatu kuhusu hujuma anazofanyiwa,sasa hizo sio Siri za Serikali?H
Huoni hata haya kutueleza kuwa unamsikiliza huyo kipapai? Hata mwendawazimu hawezi kumsikiliza. We akili yako imedumaa, mwenye akili kdg tu angejua kuwa huyo mbwa koko hana access na taarifa yyte ya serikali achilia mbali taarifa nyeti. Mpiga debe wa CCM apate wapi taarifa nyeti? Aibu yako! Ht yeye mwenyewe ameshakudharau maana anajua ukweli anachokirusha ni uzushi na uwongo alioutengeneza yeye mwenyewe, subirini siku awatukane watu km wewe live.
Aliwai kumwambia wazirii mmoja haongei na mbwa ANAONGEA na MWENYE MBWA.Rostam uwa anamshika Rais tu,vyombo vya Ulinzi vitajipanga kuanzia hapo.