Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Vimeshaluwa corrupted, overruned na wasio waadilifu, na vyombo vinawajua lakin hawataki kuchukua hatua kujisafisha
 
gentleman,
kwanini huyo msukule polepole anawapeleka mbali huko? nadhani ili awabebe ufala wa kifikra vizuri.
Na je, anapowapotosha hivyo amewaambia hiyo gas ni taifa gas au?

Na mbona hapa kwa majirani zetu wa Kenya, mtungi huohuo wa kiasi ulichotaja wa Taifa gas ni ksh.1,800 awali na sasa ni ksh 2600 na alikua kimya tu? Na halafu hiyo bei inaihusu nini Tanzania na wakati dunia inaendeshwa kwa soko huru?

Halafu gentleman,
jitahidi kua muungwana kidogo,
mtungi wenye gas wa kiasi cha uzito uloutaja Tanzania kwa bei ya rejareja ni kati ya sh.42,000-50,000 kulingana na mapenzi ya kampuni ya gas unayoipenda na si vinginevyo 🐒
 
Yaani mpaka sasa polepole ameshawazidi wanasiasa na wanaharakati wazalendo yaani ata akina lisu na lema wameshazidiwa mbaali. watz tunapaswa kumpa tuzo.hawa ndo wanapaswa kula kodi zetu
 
It is a bad development to learn about the existence of compromised government machineries

Similarly to unworking government machineries or corrupted government machineries
 
Hivyo vyombo vya ulinzi na usalama ndio vimejaza majizi. Ndio maana wanasiasa majizi wa ccm wanatamba.

Usipo kua jizi unafukuzwa, Jiulize mama kila mwaka amekua akibadilisha Mkurugenzi wa TISS ili iweje?
 
Sasa tuna elewa Hoja za Gwajima zilikua zinatoka wapi, Japo simkubali kwa alilimia 100% ila ni true facts anacho pendekeza sasa hivi kiko sahihi kwa mustakabali wa nchi
 
BAKABAKA nao wametekwa na wanamtandao! KATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.✍️📌
 
Anayeweza kumsikiliza huyo nguchiro ni mwendawazimu km wewe
Utakuwa mnufaika wa ufisadi huu, utakuwa juha mpumbavu usiyejielewa au ndio nguchiro mwenyewe.

Maana hoja hujibiwa kwa hoja siyo na hiyo spika unayokalia
 
Wanafanya kazi zao vizuri sana ndio maana kuna utekaji na kuuawa kwa wakosoaji.
Wizi sio wa kura Bali mchakato wa uchaguzi
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vinamlinda RAIS.

Kama hamtaki kuamini, jiulizeni yuko wapi Soka na wenzake.

Jiulizeni, kwa nini tunatumia majina bandia humu?
Vipi yeye rais akiwa mhalifu wanamlinda na uhalifu wake au na wao wanakuwa sehemu ya uhalifu anaofanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…