Nchi ya Tanzania ipinduliwe na "mtu 3 au 4, muda umekwisha?", bila silaha, mabomu, nk? Kichekesho na mizaha.Kwa hiyo Mbowe, alitaka kuipindua Nchi hii, kwa kusaidiwa na huyo Urio?
Hivi, hata Mzee Mgaya anaamini hivyo? Ndugu zangu, tusiwe tunajiumiza vichwa kwa kuwaza mambo ambayo, hata nafsini mwetu hatuamini kuwa yanawezekana!
Tofauti ya ugaidi na uhaini nini?Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kumbe mm naweza kwenda kusema Siro anapanga ugaidi na akashitakiwa bila uthibitisho wowote?Nadhani Urio alisema Mbowe alimwambia uchaguzi unakaribia tunataka tuchukue dola. Inamaana kujiandaa na uchaguzi na sio uhaini, ingekuwa mwaka tofauti na 2020 na akaombwa wanajeshi walioko kazini hapo uhaini ungeingia.
Unawezaje kutenda uhaini kipindi Cha uchaguzi?. Yani usubiri 2020 mwaka wa uchaguzi ndio utende uhaini. Na uhaini wenyewe ni kudhuru Viongozi na kukata miti nchi nzima. Ushahidi wa Urio umejichanganya Sana.
Yaani kwa ukubwa wa JWTZ, kwa hekima ya Mbowe na akina Lisu, kweli kabisa kwa akili hata za shule ya chekechea, Mbowe anaweza akataka a mere Luten mwenye vinyota viwili amsaidie kuchukua nchi? Mtu ambaye hata huko kambini anasimamia vikao vya kugawana maandazi? dereva wa magari ya jeshi?....camoon.Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Yule Samwel Doe alikuwa na nyota ngapi wakati anapindua serikali?Koplo au Luten aombwe msaada wa jeshi? Mambo haya yanaanza kwa mameja huko hadi kwa majenerali. Luteni kama shule ni mwalimu wa bweni yaani hata kwa Mr RCM tu anakula madoso. Mkuu wa kambi ndiye wa kuombwa sio kila kikaragosi
Kwani akina Hans pope walikuwa wangapi wakati wa Nyerere?Kwa hiyo nchi inapinduliwa kwa mkomandoo 4 na bastola moja yenye Risasi 3
Hiyo alifanya yeye kama yeyeYule Samwel Doe alikuwa na nyota ngapi wakati anapindua serikali?
Kilichofanyika ni kwamba TPDFs hawana mambo ya kijinga. Huwa hawatoi ushirikiano kwenye mambo ya kipuuzi.Urio anapata intelligence informations kuwa Mh.Mbowe anataka kupindua nchi na urio (mwanajeshi wa TPDF)akiwa ni Lt.(officer)anakimbilia kwa DCI(Director of crime investigations)kutoa taarifa hii bila ya urio kupeleka kwa CO wake au MI!!hii kwangu ni kama igizo la tamthiria ,na middle class wa JF wanaona kabisa urio alikua yupo right kufanya alichokifanya!mimi ningekua ni Chief of Staff wa TPDF leo hii urio angekua ameshavuliwa cheo kile na angekua yupo mahakama ya kijeshi kujibia hili kwanza.
Huyu Lt Homeboy alijitolea hela zake kuwadhamini magaidi.Homeboy
Urio yuko kwa dci anapewa tuition ya majibu ya j3Msalimie bwashee Urio!
Yeye nani Urio au Doe?Hiyo alifanya yeye kama yeye
Wasalimie hapo kijiwe samli.Wamemtumia Urio kwakuwa ni Mchaga mwenzake Mbowe ili kueneza chuki kwenye Kabila la wachaga ili wagawanyike kwakuwa wanajua wachaga wananguvu kubwa na wanaushirikiano mkubwa Sana,aliyeaandaa hii Script ameamua kulivunja Taifa vipande vipande lakini amini nawaambia uyu Bibi kizee anayekiita chui jike hatofanikiwa mpango wake,na kwa uweza wa Mungu iyo 2025 asiwe Tena Rais Mungu ndio pekee anajua wapi pakuanzia na wapi pakumalizia.
Zamani Ludewa-Njombe
Kwasasa Kiwalani- kwa Gude, kijiwe Nongwa.
Doe alafu Doe usimfananishe na uchafu. Kama Urio amekamatiwa na Kingai unaweza vp kumrandanisha na Doe?Yeye nani Urio au Doe?
Naifuatilia bwashee.Mkuu unafuatilia kesi lakini au?
Very True!Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
... hizo ni hadithi za Kingai na wajinga wenzie; doen't reflect reality. Kama vipi baada ya kesi kutupwa (maana inaenda kutupwa), wawakamate tena hapo hapo nje ya mahakama na kuwafungulia hiyo ya uhaini.Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!