Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

Mahututi aliyekuwa hali siku hiyo anaamka mnapiga story za hapa na pale, chakula anapiga vizuri anashushia na juice. Mnaondoka wodini kwa shangwe kwa kuona maendeleo mazuri ya ndugu yenu. Mkirudi tena kumuona mnakuta kitanda cheupe.

Enjoy life to the fullest tusiweke vinyongo maisha mafupi
 
Kwamba tayari anakuwa ametoroka na kurudi nyumbani?! 😯
 
Back
Top Bottom