Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

Yawezekana kuna ukweli, kuna mgomjwa aliwahi kuuliza "hivi leo ni tarehe ngapi?" Binti yake kipenzi akamtajia , mgonjwa akasema "siku kama ya leo baba yangu aliaga dunia" Kilichofatia na yeye siku hiyo hiyo alindoka.
 
Back
Top Bottom