Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

Sasa kwanini nimpe matumaini bandia Mimi sijazoea kusema uongo
Utamjibuje?
Haya jamaa anayoongea yalinikuta;
-Ni saa ngapi?
-Kapikeni chakula fulani(marehemu)anakuja.
-Fulani(marehemu) sogea tukae wote.
-Msichelewe kuandaa chakula sabato(sisi wasabato) inakaribia. nk.

Mtu akiongea hivyo, akili ikukae..their days are numbered japo wote siku zetu zinahesabika tu.
 
Imani tu hizo, anayetwaa uhai ni Mwenyezi Mungu pekee sio saa wala wakati.
Nasikia zamani sana mtoa roho alikuwa anakuja LAIVU. Anakwambia oya mwanetu mida yako ya kuvuta hewa ya bure imeshayoyoma, so nimekufuata ili usepe.
Nabii Mussa alifuatwa laivu na mtoa roho. Mussa huo Mussa alikuwa ana mawazo balaa. Alikuwa ametulia zake anawaza hili na liwe ghafla mtoa roho akatokea. Akamwambia jamaa muda ushaisha.
Nasikia zilipigwa.
Mtoa roho akarudisha taarifa kwamba jamaa kagoma kuja huku.

Kuanzia siku hiyo mtoa roho akawa anakuja kimyakimya
 
Utamjibuje?
Haya jamaa anayoongea yalinikuta;
-Ni saa ngapi?
-Kapikeni chakula fulani(marehemu)anakuja.
-Fulani(marehemu) sogea tukae wote.
-Msichelewe kuandaa chakula sabato(sisi wasabato) inakaribia. nk.

Mtu akiongea hivyo, akili ikukae..their days are numbered japo wote siku zetu zinahesabika tu.
Pole babu😢
 
(748) Namna bora ya kukata roho | JamiiForums Tanzania Namna bora ya kukata roho
 
Utamjibuje?
Haya jamaa anayoongea yalinikuta;
-Ni saa ngapi?
-Kapikeni chakula fulani(marehemu)anakuja.
-Fulani(marehemu) sogea tukae wote.
-Msichelewe kuandaa chakula sabato(sisi wasabato) inakaribia. nk.

Mtu akiongea hivyo, akili ikukae..their days are numbered japo wote siku zetu zinahesabika tu.
Hizo ni dakika zake za mwisho muhimu msaidie mfanye aweze kufanya kitubio cha mwisho
 
Back
Top Bottom